Wachuna Ngozi Waibuka Upya Iringa


MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Points
1,250
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 1,250
This is developing story:TUKIO la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Wenda, Kitongoji cha Lupeta, mkoani Iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina la Leonard Kutika (49) ukiwa umechunwa ngozi, hivyo kuvuta hisia kuwa wachuna ngozi wameibuka…
 
MGANGA WA KIENYEJI

MGANGA WA KIENYEJI

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Messages
507
Points
170
Age
106
MGANGA WA KIENYEJI

MGANGA WA KIENYEJI

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2012
507 170
Hivi watu wote wa Iringa wa wana umasikini wa akili kiasi hiki. Au? Maana jamii yoyote inajua wahalifu wake. Inapo amua kuwadhibiti ni sekunde tu.
 
atubariki

atubariki

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Messages
225
Points
170
atubariki

atubariki

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2011
225 170
Da poleni sana wa Tanzania wenzangu.
 
Mandingo

Mandingo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
3,886
Points
2,000
Mandingo

Mandingo

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2011
3,886 2,000
Hivi watu wote wa Iringa wa wana umasikini wa akili kiasi hiki. Au? Maana jamii yoyote inajua wahalifu wake. Inapo amua kuwadhibiti ni sekunde tu.

MGANGA WA KIENYEJI hilo jina lako kama unahusika vile...
 
Last edited by a moderator:
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,043
Points
2,000
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,043 2,000
hivi kumbe mambo yetu yale bado yapo?? kuna kipindi mbeya ilitikisa sana hii kitu. sasa naona imehamia mkoa wa jirani. umasikini wa akili ni mbaya sana
 
Obama wa Bongo

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
5,188
Points
2,000
Obama wa Bongo

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
5,188 2,000
hii habari mbona ya zamani sana iliwekwa huku kwenye jukwaa la photo! 2 mounths ago
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,991
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,991 2,000
this is developing story:tukio la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika kijiji cha wenda, kitongoji cha lupeta, mkoani iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina la leonard kutika (49) ukiwa umechunwa ngozi, hivyo kuvuta hisia kuwa wachuna ngozi wameibuka…

unaweza kutusaidia na picha??
Hatari sana maisha haya
 

Forum statistics

Threads 1,296,597
Members 498,672
Posts 31,253,387
Top