Mtoto wa Juma Ikangaa (Kulwa) Amefariki Dunia

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,456
Ndugu zangu

Leo nasikitika kuwataarifu kuwa ndugu yetu Kulwa Juma Ikangaa (government name Beatrice Juma Ikangaa) amefariki dunia jana jumamosi. Msiba uko nyumbani kwa Mzee Juma Ikangaa Sinza kwa Remmy. Nawapa pole sana ndugu, jamaa na marafiki wa ukoo wa Juma Ikangaa.

Rest in Peace dada etu Kulwa Juma Ikangaa
 
hilo Jina Beatrice lisije kusababisha fujo au kutengwa kwa baadhi ya watu, R.I.P
 
Juma Ikangaa yupi?

Ama ni huyu mjinga wa huku sombetini hapa Jiji Arusha nin?

Mtoto lala kwa Amani yake Bwana wetu!
 
Back
Top Bottom