uamsho waibuka rasmi adhuhuri leo

M

Mandi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
385
Points
0
M

Mandi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
385 0
lengo ni kuitetea zanzibar kua huru.kundi hilo lilobahatika nakua na wafuasi wengi zanzibar limetoa tamko rasmi leo adhuhur katika msikini wa mbuyuni mjini magharibi zanzibar juu ya kuitaka zanzibar kua huru.
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,172
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,172 2,000
Kwanini msikitini na siyo kanisani..
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,997
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,997 2,000
lengo ni kuitetea zanzibar kua huru.kundi hilo lilobahatika nakua na wafuasi wengi zanzibar limetoa tamko rasmi leo adhuhur katika msikini wa mbuyuni mjini magharibi zanzibar juu ya kuitaka zanzibar kua huru.
sasa kama wanataka kuitetea zanzibar msikiti wa nini?/
na uislam wanaoutumia hapo unahusika vipi??
ndivo unavoamrisha ivo??
hawana shule,,wanasumbua sana hawa jamaa
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,923
Points
2,000
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,923 2,000
hili ni bomu na ndo linakaribia kuexpire soon litalipuka naiona mbagala /gongo la mboto iyoooo
 
mwaxxxx

mwaxxxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
859
Points
195
mwaxxxx

mwaxxxx

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
859 195
99% ya wazanzibari ni muslims,,, may be wakaamua kutumia msikiti.
Ila kwa msikiti wa mbuyuni ni ngome ya c.u.f so wameamua kutumia masjid coz kisiasa wasingefanikiwa
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
41,808
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
41,808 2,000
Hawajakoma tu??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,559
Points
1,225
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,559 1,225
wakafieeeeeeee bali
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,223
Points
1,500
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,223 1,500
hili ni bomu na ndo linakaribia kuexpire soon litalipuka naiona mbagala /gongo la mboto iyoooo
May i differ with you.
Sioni bomu lolote hapa. Ni high time kumjua huyo aliyetangaza hilo na kudeal naye squarely! Wapuruzi wawili watatu hawawezi kutukosesha usingizi.

Weka ndani wote na masharti magumu kabisa ya dhamana, maana ni wahaini hawa.

Enzi za Mwalimu watu wa hivi walipotezwa kimyakimya.m
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,923
Points
2,000
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,923 2,000
May i differ with you.
Sioni bomu lolote hapa. Ni high time kumjua huyo aliyetangaza hilo na kudeal naye squarely! Wapuruzi wawili watatu hawawezi kutukosesha usingizi.

Weka ndani wote na masharti magumu kabisa ya dhamana, maana ni wahaini hawa.

Enzi za Mwalimu watu wa hivi walipotezwa kimyakimya.m
umenikumbusha baba mmoja niliwah kukutana nae mitaa ya posta hapa dar akanisimulia kisa cha maisha yake na jinsi ambavyo Mwl alimuwajibisha lolest! ameishia kuish maisha ya dhiki hadi leo.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
14,309
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
14,309 2,000
Sasa hii nayo ni habari?

Nyie wapemba hamchoki kumchokonoa Kamanda Mussa. Kaeni mkijua kuwa dhamana kule ni mpaka udhaminiwe na mfanyakazi wa serikali. Tena sasa hivi inabidi awe mfanyakazi wa Jamuhuri, pambaf
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,995
Points
2,000
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,995 2,000
99% ya wazanzibari ni muslims,,, may be wakaamua kutumia msikiti.
Ila kwa msikiti wa mbuyuni ni ngome ya c.u.f so wameamua kutumia masjid coz kisiasa wasingefanikiwa
Hiyo sensa iliyokuja na hizi data mnazozitaja kila siku mmefanya lini?
 
mpemba mbishi

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
1,132
Points
1,195
mpemba mbishi

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2011
1,132 1,195
Kwanini msikitini na siyo kanisani..
Msikini kuna Amani hata yetu Ibada na mikusanyiko yake alikua anaifanya katika Masinagogi (Misikitini) lakini tunaogopa tukikusanyika makanisani tutapata FARAKA kama ilivyotutahadharisha Biblia!
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,024
Points
1,250
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,024 1,250
Kuwa mpole utasikia majibu yatakapoishia! Hawataamiani mawazo yao itakapopotelea baharini!

Hawajakoma tu??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kuwa mpole kidogo mkuu Daudi mchambuzi
 
Last edited by a moderator:
mpemba mbishi

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
1,132
Points
1,195
mpemba mbishi

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2011
1,132 1,195
umenikumbusha baba mmoja niliwah kukutana nae mitaa ya posta hapa dar akanisimulia kisa cha maisha yake na jinsi ambavyo Mwl alimuwajibisha lolest! ameishia kuish maisha ya dhiki hadi leo.
Huyo jamaa hadi leo anaishi maisha ya 'DHIKI' lakini je Mwalimu wako Nyerere yeye yuko wapi? Am sure he is in the HELL.
 
Forum statistics

Threads 1,334,781
Members 512,099
Posts 32,486,788
Top