Nielimisheni Kuhusu Hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nielimisheni Kuhusu Hili.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaeso, Oct 18, 2012.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  318969_10151201917124339_544807833_n.jpg
  Askari wakitoa heshima za mwisho katika mazishi ya kamanda Barlow.
  Naomba kuuliza risasi hizo zinazopigwa juu hazina madhara zinaporudi chini kwa bahati mbaya zikakuta mwili wa binadamu?
   
 2. s

  saidmoshi New Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  blanco hizo.... kwa maelezo zaidi fika mzinga morogoro
   
 3. k

  kaeso JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Zinakuwaje sasa......
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,312
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  Ushawahi kuona risasi?...
  jibu rahisi ni kwamba hazina madhara yoyote
   
 5. K

  Kabondo Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata zikiwa risasi za moto,kwa kawaida zinapofyatuliwa hewani,zinaporudi chini huwa hazina madhara yoyote,nguvu yake huwa tayari imekwisha.
   
 6. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,310
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Point nzuri sana. Risasi zinazopigwa juu zinaenda juu na speed karibu ya km1500/hr, na kwenda juu hadi itakapopoteza speed kutokana na kitu kinaitwa deceleration due to gravity. Itakapogeuka, inaanza na velocity om/s na inaongeza speed kutokana sasa na acceleration due to gravity, hadi ifikie kitu inaitwa terminal velocity.

  Kesi zimeshatokea za watu kufa kwa kupigwa na risasi iliyopigwa juu na iliporudi kumwangukia mtu. Kwa hiyo ni kweli, unaweza kufa kutokana na risasi iliyopigwa kwenda juu. Ni sawa tu na ukirusha jiwe kwenda juu, litakaporudi litakujeruhi likikuangukia.

  Polisi wanapaswa kupiga blanks sio risasi za moto.

  Angalia Wikipedia wanavyosema;

  Bullets fired into the air usually fall back at terminal velocity, speeds much lower than those at which they leave the barrel of a firearm. Nevertheless, people can be injured, sometimes fatally when bullets discharged into the air fall back down. The higher mortality is related to the higher incidence of head wounds from falling bullets. Fatality accrues, when the firearm is discharged at an angle, thus the bullet keeps its angular ballistic trajectory, and falls at a speed faster than at terminal velocity.

  A study by the U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) found that 80% of celebratory gunfire-related injuries are to the head, feet, and shoulders. In the U.S. Commonwealth of Puerto Rico, about two people die and about 25 more are injured each year from celebratory gunfire on New Year's Eve, the CDC says. Between the years 1985 and 1992, doctors at the King/Drew Medical Center in Los Angeles, California, treated some 118 people for random falling-bullet injuries. Thirty-eight of them died. Kuwaitis celebrating in 1991 at the end of the Gulf War by firing weapons into the air caused 20 deaths from falling bullets.
   
 7. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,310
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Mkuu zinakuwa na madhara, angalia posti yangu inaeleza juu ya hili. Suala ni kwamba lazima wasitumie risasi za moto. Ila sijui kama Polisi wetu hawa wanajua kwamba hawapaswi kutumia risasi za moto.
   
 8. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hata hivyo risas ni nyepesi sana ikishalipuka, so wakati wa kurudi speed inategemea uzito.

  hata ikikuangukia utosini ni kama kunyewa na kunguru tu!!!
   
 9. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Mkuu Synthesizer umenisikitisha hapo kwenye red...does it mean unawaona polisi ni mambumbumbu sana au? wajinga wasio na uelewa na taaluma yao au?? mtake radhi baba yangu tafadhali...wewe umeenda google mimi baba yangu aliniambia tangu nikiwa 5 years kuwa wanatumia blanko (blanks)...
  eniwei, ndo u great thinker wako ulipofika, sikulaumu.

  mkuu Mabreka kichwa cha risasi ni chuma bana kikirudi kinaumiza aisee...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,310
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mentor, umesema kweli, ninawaona Polisi wetu wengi mambumbumbu sana, na pia wengi wao wajinga wasiojua taaluma yao, na huo ndio ukweli wangu.
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Ubarikiwe na Bwana Yesu aliye hai!
   
 12. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,398
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Wanatumia Blanks (Blankoo). Ndio maana kila wakifyatua moja, wanakoki tena silaha zao, kwanini? Kwa sababu content ya baruti kwenye blankoo haitoshelezi kuifanya silaha ifanye auto-cocking. Nadhani sasa ni muda muafaka nyie vijana mwende JKT huko mtajifunza mambo haya ikiwemo kuzifahamu silaha na jinsi zinavyofanya kazi.
   
 13. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee nakupa 100%. Hawa watoto lazima tuwapeleke JKT, lakini tuwe makini pia wasijerudi wagonjwa si unakumbuka enzi zile mzee.
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,236
  Trophy Points: 280
  Kifupi ni risasi za plastic!
   
 15. D

  Disailly Senior Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  askari hao wanatumia Blanks ni risasi yenye baruti tu na inaweza kuleta madhara kama utapigwa nayo karibu umbali wa mita 20 na tano unaweza ungua si kuingia mwilini
   
 16. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,310
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mentor, wewe unawaona Polisi wetu si mbumbumbu na wajinga wasiojua taaluma yao kwa kuwa tu baba yako alikuwa polisi pia?

  Mimi natumia matukio mbalimbali na jinsi wanavyoyashughulikia. Nikupe mfano, Polisi anayemfyatulia Mwandishi wa Habari bomu la machozi kwa ukaribu kabisa, tumboni, bila huyo Mwandishi kuwa "violent" dhidi ya Polisi, utamwonaje huyo Polisi? Jibu ni rahisi kwangu - mbumbumbu na mjinga asiyejua taaluma yake.

  Na hapo Mkuu sijakuuliza Polisi anayesema "hili lijamaa liongo sana afande, linasema jina lake Maiko kumbe linaitwa Mikaeli, kama lilivyoandika kwenye maelezo ya chaji shiti deteili"
   
 17. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,398
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Mkuu shauri yao! Siku hizi elimu ya kujikinga ipo bwelele, wakiendekeza libeneke wataondoka! Mkuu nyakati zile ilikuwa hatari, wakati wa ukuruta wadada wanaondoka SERENGETI usiku wanakuja mahangani kuwahi namba; kisha mchakamchaka, uji, halafu unawahi mraba wako wa mahindi kule embakasi, unapitia mzigo wa kuni, usawa wa gudulia mchana, waenda kuoga, usawa wa gudulia jioni; mwisho disco! weee naikumbuka MLALE JKT.
   
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Nasema kwa kuwa nimeishi nao..sijasoma kwenye chaji shiti...wengine ni rafiki zangu hadi sasa..
  Swala la Mwangosi, ungekuwa si mtu wa kuropoka ningekuambia siri ila we endelea kuwaona mbumbumbu kwa faida ya usalama wa nchi.
  Pili, kama alitamka jina lake Mikaeli huwezi kumwandika Michael..na pia baadaye yeye hawezi/haruhusiwi kubadili pronunciation kuwa 'Michael' ilhali ulipolitamka mwanzo lilikuwa 'Mikaeli'..my friend uliza wanasheria (@ruttashobolwa) akuambie jinsi hilo tu linaweza ku nullify case.
  My friend..life is more than what you see, and unless you can see the big picture..am sorry, it will always be a biiig puzzle to you! (Don't worry, I was once like you!)
  Good morning n adios broda!
   
 19. k

  kaeso JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asanteni sana wote kwa elimu mliyonipatia.
   
 20. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,738
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Mentor funguka zaidi bwana!
   
Loading...