Mh. Magufuli tembelea kituo cha mabasi Ubungo ujionee

Mh. Magufuli tembelea kituo cha mabasi Ubungo ujionee

Hhm

Member
Joined
Apr 28, 2010
Posts
69
Reaction score
14
Mh. Magufuli kituo cha mabasi yaendayo mkoani ni kichafu hakifai sijui pesa zinazokusanywa pale zinafanya kazi gani. Leo nimebahatika kuingia kituoni pale nikakutana na bango FUATA TARATIBU ZAKITUO PARK GARI YAKO HAPA... Well mara moja nikajua sasa pameadvance...lol. sasa huko ninapotakiwa kilipaki gari mzee!! Ni mashimo kumeharibika kunanuka mikojo hakufai wala hakutamanishi. Kwakweli iliniuma sana. Baada ya hapo sasa nikauliza huduma ya vyoo nikaambiwa vipo vyakulipia nikaamini kwakuwa vinalipiwa basi kutakuwa kumekaa vizuri...oooh my Godness!! Aibu huko chooni sasa....naomba nisiseme mengi...niliondoka nacho ni taswira ya WIZI!! pale ukiingia chooni haja ndogo au kubwa ni 200/- Tsh. How much do they collect per day!! Vyoo vichafu kunatia kinyaa miundombini mibovu gash!! Watanzania tunalipia that for what!! Mlimani city Toilets vina hadhi nzuri na huduma ni bure, parking za mlimani city ni nzuri na kuna ulinzi bado ni bure!! Ubungo stand hakuna abiria anayesafiri bure ukiingia ndani ya kituo unalipa kama ni msindikizaji au umekuja kupokea Huduma ya vyoo Pesa!! But paangalie palivyo.... Serikali inapaswa ichunguze ubungo stand. Something wrong there!!
 
mh. Magufuli kituo cha mabasi yaendayo mkoani ni kichafu hakifai sijui pesa zinazokusanywa pale zinafanya kazi gani. Leo nimebahatika kuingia kituoni pale nikakutana na bango fuata taratibu zakituo park gari yako hapa... Well mara moja nikajua sasa pameadvance...lol. Sasa huko ninapotakiwa kilipaki gari mzee!! Ni mashimo kumeharibika kunanuka mikojo hakufai wala hakutamanishi. Kwakweli iliniuma sana. Baada ya hapo sasa nikauliza huduma ya vyoo nikaambiwa vipo vyakulipia nikaamini kwakuwa vinalipiwa basi kutakuwa kumekaa vizuri...oooh my godness!! Aibu huko chooni sasa....naomba nisiseme mengi...niliondoka nacho ni taswira ya wizi!! Pale ukiingia chooni haja ndogo au kubwa ni 200/- tsh. How much do they collect per day!! Vyoo vichafu kunatia kinyaa miundombini mibovu gash!! Watanzania tunalipia that for what!! Mlimani city toilets vina hadhi nzuri na huduma ni bure, parking za mlimani city ni nzuri na kuna ulinzi bado ni bure!! Ubungo stand hakuna abiria anayesafiri bure ukiingia ndani ya kituo unalipa kama ni msindikizaji au umekuja kupokea huduma ya vyoo pesa!! But paangalie palivyo.... Serikali inapaswa ichunguze ubungo stand. Something wrong there!!



ni kweli kabisa
hata mimi najiuliza hivi zile 200 hua zinaenda wapi?
Na wanakua wakali sana pale ukigoma kutoa ile 200
yani nchi hii kila sehemu hapakosi lawama??
 
Eeh ndg kwani Mafufuli ni waziri wa nini na hapa tunajadili nini!!

Mimi nilidhani hii inaangukia kwenye usafirishaji na uchukuzi kwahiyo inamuhusu mwakyembe na siyo maghufuli .Magufuli ni wa ujenzi.
 
Back
Top Bottom