Mbowe akacha harambee ya kanisa Moshi!

Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Wakuu,
Leo nilialikwa kwenye harambee ya KKKT dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Longuo - Moshi ambapo walikua na harambee ya ujenzi wa kanisa, na mgeni rasmi alitegemewa kuwa Mbunge wa Hai, Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Haikaeli Mbowe.
Lakini cha kushangaza, Mh. Mbowe hakuweza kuhudhuria harambee hiyo pamoja na kukubali kuwa mgeni rasmi tangu awali, na taarifa nilizopata ni kwamba Mh. Mbowe alitoa taarifa ya kutokuhudhuria siku moja kabla ya harambee bila hata ya kutuma muwakilishi.
Kwa kweli katika hili Mwenyekiti wangu ameni let down sana as I always believe that he is a man of his words!!
 
M

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Messages
4,527
Points
2,000
M

Malila

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2007
4,527 2,000

Je umewasiliana naye kujua kulikoni?
 
Olaigwanani lang

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Messages
489
Points
195
Olaigwanani lang

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2012
489 195
ndiyo mambo hayoo......dharura haina adabu......
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
Akili yako na ya maiti hazitofautiani!
We si umesema kwamba alitoa uthuru! Sasa UMBEA WA NINI? Unaonekana usipomsema hulali!
Nimetafuta tusi la kukupa nikakosa.
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,853
Points
1,250
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,853 1,250
Heshimu maamuzi yake maana pia ni mtu lakini harambee itakuwa ime endelea
 
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Akili yako na ya maiti hazitofautiani!
We si umesema kwamba alitoa uthuru! Sasa UMBEA WA NINI? Unaonekana usipomsema hulali!
Nimetafuta tusi la kukupa nikakosa.
jifunze kwanza lugha mama, siyo uthuru ni udhuru, halafu kwani mtu ukiitwa kuwa mgeni rasmi sehemu halafu ukawa na udhuru si unatuma muwakilishi? Mbona yeye kawakaushia wakristo wa watu.
Kuhusu matusi usiogope mama, mi hata hayantishi. Karibu halafu nikuhamishie kwa mkuu Paw
 
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Heshimu maamuzi yake maana pia ni mtu lakini harambee itakuwa ime endelea
hapakuwa na haja ya kukubali kama alijua haji halafu kama alipata udhuru ghafla si angetuma muwakilishi? Kwa nini aliwaacha watu waliokua wanamtarajia njia panda?
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
17,406
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
17,406 2,000
wamuite lowasa aje kumwaga mamilion
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
Wewe unaonekana unatumia masaburi kufikiri! Si alitoa taarifa siku 1 kabla ili mtafute mtu mwingine! Acha fikra mbovu hizo.
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,501
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,501 2,000
Alishatoa udhuru, walikuwa wanasubiria kivuli chake au? Kama waliona hakuna mbadala walipaswa wao kumwomba atume mwakilishi anayeona angefaa kumwakilisha.

Mi si mwanasiasa lakini sijaona kosa la Mbowe hapa.
 
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Alishatoa udhuru, walikuwa wanasubiria kivuli chake au? Kama waliona hakuna mbadala walipaswa wao kumwomba atume mwakilishi anayeona angefaa kumwakilisha.

Mi si mwanasiasa lakini sijaona kosa la Mbowe hapa.
Babu Asprini heshima kwako.
Bila shaka unajua ugumu wa kupata mgeni rasmi katika shughuli kama harambee. Hivi mtu aliyekubali awali halafu anakujulisha Jumamosi kwamba hataweza kuhudhuria hiyo harambe ya Jumapili unamchukuliaje?
Unaweza kweli ukampata mgeni rasmi mwingine ndani ya muda huo. Try to be objective babu!
 
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Wewe unaonekana unatumia masaburi kufikiri! Si alitoa taarifa siku 1 kabla ili mtafute mtu mwingine! Acha fikra mbovu hizo.
We bangii naona ushavuta uchafu wako kichwa kimeruka, hebu kakojoe ulale mamaa!
 
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
10,072
Points
2,000
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
10,072 2,000
hapakuwa na haja ya kukubali kama alijua haji halafu kama alipata udhuru ghafla si angetuma muwakilishi? Kwa nini aliwaacha watu waliokua wanamtarajia njia panda?
Labda upeleleze ujue ni udhuru upi huo ambao ulimpata mpaka akashindwa kushiriki hiyo harambee, pia alipotoa udhuru alizungumza nini na wahusika wa harambee, pia kuhusu kuleta mwakilishi nadhani wenye harambee walimhitaji yeye kama yeye wakiamini kwamba anaweza akafanikisha hivyo akileta mwakilishi huenda akawaletea mtu ambae wanadhani atashindwa kufanikisha harambee (kwanini nasema hivi, Mbowe ameteuliwa na wana harambee wenyewe iweje nae achague harambee hasa ukizingatia hiyo haikuwa ni kazi ya kufungua au kufunga mkutano)

Ni mawazo yangu tu hayo
 
luhala

luhala

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
412
Points
0
luhala

luhala

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
412 0
Babu Asprini heshima kwako.
Bila shaka unajua ugumu wa kupata mgeni rasmi katika shughuli kama harambee. Hivi mtu aliyekubali awali halafu anakujulisha Jumamosi kwamba hataweza kuhudhuria hiyo harambe ya Jumapili unamchukuliaje?
Unaweza kweli ukampata mgeni rasmi mwingine ndani ya muda huo. Try to be objective babu!
Jaribu kuufikirisha ubongo wako mkuu, aliyealikwa ni binadamu kama yeyote anaweza akaugua ghafla, kuuguliwa au kupata dharura yoyote na wakati wowote hata zikiwa zimebaki saa mbili tu; sasa ulitaka akamtafutie wapi huyo unayemwita mwakilishi? Kumbuka hata huyo mwakilishi atasema angehitaji muda wa kujiandaa kwa shughuli kama hiyo! Kwani harambee ile ilikuwa ya siku moja tu? siku moja? Kama siyo basi mwalikeni tena atahudhuria kwenye harambee ijayo.
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
We ndo ukanye ukalale, alafu utawazee! Maana huko kimimanjaro kuna baridi! BASI DOGO ACHA UNAFKI MWACHE JEMBE LA CDM LIINJOY!
 
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Labda upeleleze ujue ni udhuru upi huo ambao ulimpata mpaka akashindwa kushiriki hiyo harambee, pia alipotoa udhuru alizungumza nini na wahusika wa harambee, pia kuhusu kuleta mwakilishi nadhani wenye harambee walimhitaji yeye kama yeye wakiamini kwamba anaweza akafanikisha hivyo akileta mwakilishi huenda akawaletea mtu ambae wanadhani atashindwa kufanikisha harambee (kwanini nasema hivi, Mbowe ameteuliwa na wana harambee wenyewe iweje nae achague harambee hasa ukizingatia hiyo haikuwa ni kazi ya kufungua au kufunga mkutano)

Ni mawazo yangu tu hayo
Nilizungumza na mmoja wa wanakamati akaniambia hadi jana ndio walipata taarifa kwamba huyu mkuu hatakuja na sababu haikutajwa ingawa mchungaji alisema labda ni kutokana na kubanwa na majukumu.
Kuhusu kutuma mwakilishi ingekua busara zaidi, mfano alialikwa baba askofu Martine Shao kushiriki kwenye harambee lakini kutokana na kubanwa na majukumu alimtuma askofu mmojawapo wa dayosisi amwakilishe.
Ila umewaza vema si kama bangii!
 
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
10,072
Points
2,000
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
10,072 2,000
Nilizungumza na mmoja wa wanakamati akaniambia hadi jana ndio walipata taarifa kwamba huyu mkuu hatakuja na sababu haikutajwa ingawa mchungaji alisema labda ni kutokana na kubanwa na majukumu.
Kuhusu kutuma mwakilishi ingekua busara zaidi, mfano alialikwa baba askofu Martine Shao kushiriki kwenye harambee lakini kutokana na kubanwa na majukumu alimtuma askofu mmojawapo wa dayosisi amwakilishe.
Ila umewaza vema si kama bangii!
Ok mkuu
 
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Jaribu kuufikirisha ubongo wako mkuu, aliyealikwa ni binadamu kama yeyote anaweza akaugua ghafla, kuuguliwa au kupata dharura yoyote na wakati wowote hata zikiwa zimebaki saa mbili tu; sasa ulitaka akamtafutie wapi huyo unayemwita mwakilishi? Kumbuka hata huyo mwakilishi atasema angehitaji muda wa kujiandaa kwa shughuli kama hiyo! Kwani harambee ile ilikuwa ya siku moja tu? siku moja? Kama siyo basi mwalikeni tena atahudhuria kwenye harambee ijayo.
Hivi mkuu unajua hesima ya kuwa mgeni rasmi ni kubwa sana kupewa na watu tena watumishi wa Mungu, na kulingana na maelezo ya awai harambee hii iliandaliwa tangu mwezi Julai sasa we huoni vibaya kuwadiscourage watu hawa?
Kuhusu kumualika tena ningekua kwenye kamati ningepinga kwa nguvu zote as hakuonesha kujali heshima alopewa. Mwenyekiti bana!
Kuhusu kupata wa kumuwakilisha siamini kama angemkosa as I believe Mbowe has number of dogs arround his table.
 
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
We ndo ukanye ukalale, alafu utawazee! Maana huko kimimanjaro kuna baridi! BASI DOGO ACHA UNAFKI MWACHE JEMBE LA CDM LIINJOY!
Huezi kuwa mzima wewe...
Kwa wajinga wenye kutekwa na generalisation wanadhani CHADEMA imejaa mamburula wa type yako.
Shame upon u!
 
Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,915
Top