Huyu mheshimiwa na Simba yake hivi karibuni matamshi yake yanaonekana kama amepata ugonjwa fulani wa akili uitwao "Simple schizophrenia" dalili zake ni kusema maneno mengiiii, na kuruka topic moja hadi nyingine bila mpangilio
Mfano:
-Tawi la simba la mpira pesa nimelifuta
- Kamati zote nimezifuta nitazipanga upya
- waliomtukana Kaseja nitawashugulikia
- Kodi ya pango katika mbao za biashara jengo la simba nitaziangalia upya
- Naenda Tabora kupumzisha akili nitarudi
Mtu kama huyu tumtegemee ataleta ubunifu wowote hapa jimboni ukitilia maananni CHADEMA wanavyotukimbiza CCM sasa hivi, cM4C ikiingia jimboni inasomba wanachama wetu wote, ama kweli wanyamwezi tumeumia.