ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 198
mwaka huu chama cha walimu Tanzania maarufu CWT kilikua na mishemishe nyingi za kupigania maslai ya wanachjama wake. chakushangaza ni kwamba wapo kimya sasa sifahamu kama wafyata mkia au vipi. manake katika madai yao hakuna hata dai moja walilofanikiwa. CWT mnaondoa imani kwa wanachama wenu