ADC yatapeli sh 20000 kila mwananchi Handeni!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,500
2,000
Wananchi wa handeni wameandamana baada ya kutapeliwa sh 20000 kwa ahadi ya kupelekewa matrekta na chama cha ADC!
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,500
2,000
chama cha CUF kimewaahidi kuwapa sh 21000 kwa sharti la kujiunga na chama hicho!PCCB rushwa sasa ni nje nje bila woga
 

Mercyless

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
653
195
chama cha CUF kimewaahidi kuwapa sh 21000 kwa sharti la kujiunga na chama hicho!PCCB rushwa sasa ni nje nje bila woga
Jina lako linanifanya nikose cha kuamini katika taarifa hii. Lakini inawezekana ni kweli kwani hao si ndo wale walioasisiwa na magamba ili kupambana na upinzani. Inawezekana posho zao magamba wamezichelesha ndio maana wakabuni njia ingine ya kijasiriamali.
 
Top Bottom