HESLB Contact

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
0
Wakuu habari zenu,


Naomba mkuu mwenye namba ya simu ya mfanyakazi yeyote anayefanyia Higher Education Students' Loans Board Anipatie. Kuna wanafunzi wana shida na mikopo yao, hivyo nataka kuwasilisha matatizo hayo (Nawasaidia tu hao wanafunzi). Natanguliza shukrani.

classics
 

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
0
NB: Kuna namba zao zile walizoweka kwenye web yao nimepiga mara nyingi hawapokei.
 
Top Bottom