Hebu tukumbushane baadhi ya matamshi au vitendo vyenye kuudhi toka kwa viongozi.

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Baadhi yake ni
1. Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na viongozi 60 wa ccm kiutendaji.
2. Kama hamuwezi kulipia pantoni, pigeni mbizi
3. Kwahiyo inamaana baba yake Dr.Slaa ni shoga.
4. Niwarambe nisiwarambe?
5. CCM oyee __>kwenye uzinduzi wa mkoa mpya.
6. Huyu mbunge wenu kwanza alishanitaka kimapenzi nikakataa nikafukuzwa uwanachama,!
7. Ma DC wakivaa nguo za chama wanapokua ofisini hakuna tatizo.
8. Waambieni hii nchi inawenyewe wakafanye uhuni wao kwa maasimu wao nchi za nje.
9. Walimu wanataka mishahara minono wakati ni watu waliofeli
10. CDM ndio inaharibu wanafunzi chuoni na kushinikiza migomo
11. Hii bendera yao mimi namfungia mbwa (kweli akamfungia)
12. Kuweka bendera ya ccm kwenye jeneza
13. Huyu hawezi siasa akauze vilabu vya pombe uchagani
==<>=<>==
HEBU ENDELEZA KIDOGO......
 
"Watoto wa kike wanaopata mimba ni kiherehere chao"!
 
"Wasichana kubeba mimba utotoni ni viherehere vyao"
 
"Waandishi wa habari msipige picha na kurusha habari za ajali barabarani kwani zinawatisha sana watalii" By Hajjat Mwantumu Mahiza.
 
Sasa mimi nadhani huyu Dr. Slaa anazeeka vibaya, ninamashaka na kufikiri kwake
 
1."Mnataka nigeuke mvua nikanyeshe Mtera nijaze mabwawa?"2."Kama mgomo wenyewe ni kwa ajili sh.350,000/=hata mkigoma miaka 8,pesa hiyo haipo.. Asiyetaka aache kazi..''
 
Baadhi yake ni
1. Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na viongozi 60 wa ccm kiutendaji.
2. Kama hamuwezi kulipia pantoni, pigeni mbizi
3. Kwahiyo inamaana baba yake Dr.Slaa ni shoga.
4. Niwarambe nisiwarambe?
5. CCM oyee __>kwenye uzinduzi wa mkoa mpya.
6. Huyu mbunge wenu kwanza alishanitaka kimapenzi nikakataa nikafukuzwa uwanachama,!
7. Ma DC wakivaa nguo za chama wanapokua ofisini hakuna tatizo.
8. Waambieni hii nchi inawenyewe wakafanye uhuni wao kwa maasimu wao nchi za nje.
9. Walimu wanataka mishahara minono wakati ni watu waliofeli
10. CDM ndio inaharibu wanafunzi chuoni na kushinikiza migomo
11. Hii bendera yao mimi namfungia mbwa (kweli akamfungia)
12. Kuweka bendera ya ccm kwenye jeneza
13. Huyu hawezi siasa akauze vilabu vya pombe uchagani
==<>=<>==
HEBU ENDELEZA KIDOGO......

Mkuu hebu nikumbushe kidogo,hiyo namba 6 ilikuwa wapi?nani huyo alirusha hilo dongo?

14: Mpaka Clinton kutembelea tanzania ujue ccm tumefanya makubwa. (By B.W.M ktk Kampeni za mwaka 2000)
 
6 . Diwani mmoja mwanamke aliehama tena kutoka CDM kwenda CCM jana wakati wa ujio wa Kinana na Nape Arusha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom