Ashish J. Thakkar: Dogo miaka 31 aliyenunua polisi oysterbay

maju

Senior Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
118
Points
0

maju

Senior Member
Joined Oct 20, 2011
118 0
At 31, Ashish J. Thakkar is one of the wealthiest, most successful entrepreneurs of Ugandan origin. He is the founder and CEO of the Mara Group, a conglomerate with tentacles in everything from Real Estate and tourism to financial services, information and communications technology, agriculture, BPO services, renewable energy and manufacturing. The group’s operations span 16 countries in four continents, including Asia, and he employs over 6,000 people. As a successful global entrepreneur and native son of Africa, Ashish has learned quite a bit over the past decade and a half since he started his first business at age 15 selling computers.
 

Kitanga

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
128
Points
225

Kitanga

Senior Member
Joined Oct 17, 2012
128 225
Jamii hili Jeshi la Polisi linaongozwa na watu wa namna gani? Au walipewa maelekezo na serikali kuu kupitia Waziri wa Uhusiano na yule wa Uwekezaji kuwa lazima watoe hilo eneo kwa huyo mfanyabiashara? Haiwezekani Jeshi lisilofanya biashara kuanza kuingia mikataba ya kibiashara! Kwa nini huyo mwekezaji asingeomba pale Police Mess jirani na Golden Tulip kwa ajili ya shughuli hizo. Ni dharau kwa Jeshi hili na nadhani litaingia katika kumbukumbu za Kimataifa.
 

Forum statistics

Threads 1,389,294
Members 527,903
Posts 34,022,436
Top