polisi KENYA wasomi.....

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
1,027
Points
1,250

kupe

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
1,027 1,250
Nilikuwa nafuatilia usaili wa polisi wapya nchini Kenya katika tv siku kama tatu zimepita . Kigezo chao kikubwa ni kwamba anayeomba nafasi ya kujiunga na upolisi ni lazima awe na DIPLOMA yeyote ile alafu vigezo vingine ndio vifuatie
 

Kamkuki

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
1,263
Points
1,500

Kamkuki

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
1,263 1,500
Nilikuwa nafuatilia usaili wa polisi wapya nchini Kenya katika tv siku kama tatu zimepita . Kigezo chao kikubwa ni kwamba anayeomba nafasi ya kujiunga na upolisi ni lazima awe na DIPLOMA yeyote ile alafu vigezo vingine ndio vifuatie
Safi sana hao inaonekana wako makini na geshi lao .................... ila ukija hapa Bongo unakuta mambo ni tofauti kabisaaaa
Utasikia afande Chacha aliingia upolisi kisa alikuwa anakimbia sana
Amna amna utasikia afande Mulokozi alipata kujiunga na jeshi kisa baba yake alikuwa rafiki yake Tibaigana mpo hapo!!
 

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
1,027
Points
1,250

kupe

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
1,027 1,250
Yaani askari wa kenya pamoja na ukorofi wao lakini elimu ipo tofauti kabisa na huku kwetu tz
 

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
1,395
Points
1,195

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
1,395 1,195
Elimu Kenya ni kipau mbele, nilikua na fundi mkata mbao porini. Huyu jamaa ni mkenya ana Advance diploma in Carpentry and Mason. Alikua anauchambua uchumi wa Africa na mwenendo wa ongezeko la watu. Dah nilijiona mtupu mbele yake wakati yeye wakati huo alikua kibarua wangu wa siku, typical wage worker.
 

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
14,132
Points
2,000

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
14,132 2,000
Elimu Kenya ni kipau mbele, nilikua na fundi mkata mbao porini. Huyu jamaa ni mkenya ana Advance diploma in Carpentry and Mason. Alikua anauchambua uchumi wa Africa na mwenendo wa ongezeko la watu. Dah nilijiona mtupu mbele yake wakati yeye wakati huo alikua kibarua wangu wa siku, typical wage worker.
Ndio hayo ya barmaid anakuhudumia hapo counter pembeni ana revise advanced engineering mathematics function of complex variable! Muulize kwani ni what? Jibu na study tomorrows paper.
 

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,327
Points
2,000

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,327 2,000
Is that so??! How much r they paid?
Do u think ina mantiki kijana mwenye diploma ya IT umkute kashikilia bunduki pale posta yupo lindo??!
Ngoja nkuibie ya jeshi la polisi Ujerumani: wao wana recruitment mbili. Viongozi na operations. Hawa viongozi ndo wale wenye taaluma zao...it..accounts..procurement...planning..budgeting...hr..mgt...etc etc...hawa wanakua recruited for a specific purpose na specific nid. Kwa idadi sio wengi pia.
Operations ndo hawa unawakuta traffic..general duty..ffu...patrol n beats. Hawa hakuna haja ya kumchukua mtu wa masters. Their physique plays a big role in their selection.
Hawa wote..categories zote...wanaenda mafunzo ya upolisi...they hav a university on police sciences...yan unaweza ukaingia form four ila ukafanya izo courses from certificate hadi phd ukitaka na ukieza. Zinamjenga askari kuijua taaluma yake na kuielewa..kuipenda na kumsaidia kufanya kazi vizuri.
Kwa Ujerumani nadhani basic course tu yao ni miaka miwili kama sijakosea sana.wakitoka apo vijana wameiva wanaijua kazi yao.
Sasa kwa hali iyo ya kuchukua diploma holders kwenda kushika bunduki benki inakua illogical. I think high unemployment rates ndo zinazochangia wao kushindwa kuchagua kazi alimradi mkono uingie kinywani. Angalia ata apa kwetu kwan unadhan jeshi la polisi halina graduates? Swali ni je TUNAWATUMIAJE?
Alamsiki kwa sasa....
 

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,114
Points
1,250

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,114 1,250
Sidhani kama ni kweli usaili ulikuwa unachukuwa waliomaliza Form IV na wenye kuanzia C- na kuendelea

Waliokuwa na D- na kushuka chini hawakusailiwa ila hiyo ya kuwa na Diploma sikuisikia mimi
 

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
14,132
Points
2,000

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
14,132 2,000
Sidhani kama ni kweli usaili ulikuwa unachukuwa waliomaliza Form IV na wenye kuanzia C- na kuendelea

Waliokuwa na D- na kushuka chini hawakusailiwa ila hiyo ya kuwa na Diploma sikuisikia mimi
Nadhani anazungumzia vetting ya kamishna wa polisi na makamu wake. Viegezo nadhani zaidi ya diploma.
 

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
1,027
Points
1,250

kupe

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
1,027 1,250
Dena amis hukusikia au hujui????? Nipo nairobi mjini. Mdogo wake na rafiki yangu amekosa nafasi coz hana diploma. Na imetangazwa kwenye television ya taifa . Penda kufuatilia na kuvielewa vitu . Kama hujui uliza
 

Forum statistics

Threads 1,390,171
Members 528,095
Posts 34,044,637
Top