Kauli ya Diwani CHADEMA aliyehamia CCM ni Kofi la Usoni kwa Mwenyekiti CCM Taifa!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
Diwani wa CHADEMA aliyehamia CCM amemtuhumu Lema . Je kama sababu anayotaja ndiyo ya msingi kuhama CHADEMA je huko alikohamia ni salama?? Kuna nini CCM angalia Mwanamke mmoja anayeitwa Rahma Al Khroos, mwenye asili ya kiasia ambaye alipewa kazi ya kusambaza mafuta kwa sababu ya chupi !!! Nani asiyejua?

KULE KWENYE JUKWAA LA SIASA KUNA POST HII:
Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI LEMA alikua ananitaka kimapenzi nikakataaa Babu na uzee wake nae alitaka niwe mke wake nikakaata wakanifanyia zengwe mpaka nikafukuzwa uanachama japo nilikuwa diwani. Nawashauri akina mama msijiunge na CHADEMA viongozi wa huku wanatabia chafu wanajifanya wazalendo kumbe ni wazalendo wa chupi kama degree za chupi DIWANI WA CHADEMA ALIEHAMIA CCM LEO AKIILANI VIKALI CHADEMA KWA MAELFU YA WANAINCHII WALIOJITOKEZA KUSHUHUDIA ANGUKO LA CHADEMA aliyekuwa diwani wa cdm, kata ya olasite.akiongea kwa uchungu baada ya kutendwa .


HABARI KATIKA MITANDAO ZINATONYA UKWELI JUU YA RAHMA NYUMBA NDOGO !!!! Thursday, March 10, 2011 KAMANDA KOVA AKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO VYA KAMANDA KOVA CUP. Rais wa RBP Oil and Industrial Technology Limited, Rahma Al-Kharoosi (kushoto), akikabidhi vifaa vya michezo Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Sulemani Kova kwa ajili ya Kombe la Kova (Kova Cup) lenye lengo la kuwaweka karibu wananchi kwa kushirikiana na Polisi kumaliza uhalifu jijini.Makabidhiano hayo yalifanyika Barax Polisi Dar es Salaam Kamanda Kova akikabidhiwa .

Mkuu wa Polisi Kanda maalum na mratibu wa Polisi, Suzan Kaganda akizungumza kabla ya hafla fupi ya makabidhiano kuanza Baadhi ya wawakilishi wa timu shiriki na Maofisa wa Polisi wakiwa kwenye hafla ya makabidhiano hayo. Baadhi ya Maofisa wa Polisi na wawakilishi wa timu shiriki wakisikiliza Baadhi ya Makamanda wa Polisi wakiwa kwenye hafla hiyo Wakisikisikiliza Mama Rahma na Kamanda Kova wakisikiliza jambo.

Ofisa upelelezi wa Kanda maalum ya Dar es Salaam, Ahmed Msangi akizungumza wakati wa makabidhiano hayo. Mama Rahma na Kamanda kova wakisikiliza jambo wakati wa hafla ya makabidhiano hayo Kamanda Kova akitoa shukrani baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo. Baadhi ya wajumbe wakifuatilia Kamanda, Kova (kulia) akimkabidhi jezi Diwani wa kata ya Migulani, Juma Mkenge kwa niaba ya timu ya ulinzi shirikishi ya Mibulani ambao ni mabingwa wa tetezi wa mashindano hayo.


Katikati ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Temeke , David Misime. Kamanda Kenyela, Mama Rahma na Kamanda Kova
 

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,951
2,000
Kajipange vizuri, uliyoandika mbona hayaendani na mada??? Kichwa cha habari ni Diwani wa Chadema aliyehamia CCM, ndani unaongelea mara Diwani, mara Kova mara mama Kharoos!! Picha ziko wapi?? What is What???
 

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,033
2,000
Ameruka
mkojo na kukanyaga kinyesi,tunamtakia maisha mema ya kisiasa huko
alikoenda ila yampasa ajue huko bila kuvua chupi hata ubalozi wa kitongoji/mtaa hatapata.
 

adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,195
2,000
Mtoa hoja ungejikita zaid kama heading inavojieleza, umeweka mengi yasiyohusiana na hoja.

Ungetengeneza paragraph vizur tuelewe na kuchangia, maana hoja ikitolewa hujadiliwa.

Any way yote kwa yote ni mtazamo wako.
 

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
mtoa hoja ungejikita zaid kama heading inavojieleza, umeweka mengi yasiyohusiana na hoja.

Ungetengeneza paragraph vizur tuelewe na kuchangia, maana hoja ikitolewa hujadiliwa.

Any way yote kwa yote ni mtazamo wako.
wew humujui bi rahma al khroos ????
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,538
2,000
Sasa lile zee yaani liko menopause ndo lema amtake? Mambo mengine bana yanachekesha kweli
 

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,703
2,000
Kama hakufahamu vizuri huko alikohamia atete na Sofia Simba au Chatanda.
 

ngonani

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
1,369
1,250
Nimeangalia sura yake mbona hana sura yeyote ya kupendwa na Lema,ni bibi kizee hata mimi na umaskini wangu siwezi kumkubali.
 

adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,195
2,000
wew humujui bi rahma al khroos ????

Sio wote wanamfaham, hata hivyo maelezo yake ya kuwananga viongozi wa cdm na chama kwa ujumla sijauona uhusiano wa

moja kwa moja na KAMANDA KOVA CUP baada ya kupitia maelezo mara kadhaa - ni mtazamo wangu mkuu.

Pamoja na hayo yote nadhani ni maneno ya mkosaji, amekosa/ametoswa kwa hasira za mkizi anatoa kauli hizo kwaviongozi wa cdm.
 

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,516
2,000
Nimekuwa mzee au ndio namaliza mwaka vibaya? yaani nimesoma mara mia huu uzi nimeshindwa kuuelewa mkorogo huu wa thread zuzu mie!jaribuni kusoma mnachokiandika kabla ya kupost!
 

Etairo

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
244
0
kwani cdm ndo pasafi? Mbona tunavutwa kwa hisia tukasahau uhalisia? Aliyekudanganya kuwa cdm ni safi ni nani? Ona nafasi za ubunge viti maalum ni akina nani? Si ndigu wa vigogo wa cdm au wake zao au watoto wao au mademu wao? Je huko si kuvua chupi? Usikumbwe na mwendo ilihali wewe mwenyewe hujajipanga kwenda...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom