• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

jamii ya Chuki na kibaguzi have killed my mother

P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,578
Points
2,000
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,578 2,000
Am not sure whether this is the right forum or not but i stand to be corrected as well to be forgiven. the thing here is that the community hatred have jeopardized my carrier, social status and finally have costed my mother's life(RIP). my family have survived more than 5 attempt from bad people just because we are Tutsi. since i was young i have witnessed the neighbors point finger to us as a message that we are not citizen. and the last attempt have taken my mother's life. nimeitumikia jamhuri ya muungano vizuri, nimesaidia watu wengi ili nao wafike nilipofika. ni dhambi kuonekana kama foreigner?

God knows
 
Mjanga

Mjanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Messages
1,244
Points
1,225
Mjanga

Mjanga

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2011
1,244 1,225
Hujafunguka ipasavyo mkuu! what is the base for your sorrows? why hatred? just cos you are Tutsi?

Am not sure whether this is the right forum or not but i stand to be corrected as well to be forgiven. the thing here is that the community hatred have jeopardized my carrier, social status and finally have costed my mother's life(RIP). my family have survived more than 5 attempt from bad people just because we are Tutsi. since i was young i have witnessed the neighbors point finger to us as a message that we are not citizen. and the last attempt have taken my mother's life. nimeitumikia jamhuri ya muungano vizuri, nimesaidia watu wengi ili nao wafike nilipofika. ni dhambi kuonekana kama foreigner?

God knows
 
Wanitakiani

Wanitakiani

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2008
Messages
641
Points
0
Wanitakiani

Wanitakiani

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2008
641 0
Please open up Prof. What happened? Where and when? Who is the cause?
 
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined
Jun 24, 2011
Messages
7,766
Points
2,000
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined Jun 24, 2011
7,766 2,000
Lakini mkuu umetuacha hewani tunabembea tu
 
C

chicco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
748
Points
225
C

chicco

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
748 225
pole sana kwa masahibu yaliyokupata and i can understand that wakati unaandika hii thread ulikuwa na majonzi sana.very sorry,but one thing unatakiwa ujue for sure sio watz wote tuko hivyo na kama ukielezea zaidi unaweza pata msaada.pole sana mkuu
 
ojoromong'o

ojoromong'o

Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
91
Points
0
ojoromong'o

ojoromong'o

Member
Joined Nov 6, 2012
91 0
Lakini mkuu umetuacha hewani tunabembea tu
...hafadhali yako wewe bado unabembea,mimi nimesha-anguka...lakini kabla sijaanguka kabisa nimepepesa pepesa macho ktk ya hiyo mistari,nilicho bahati kunusa ni harufu ya majangili wa Ndovu,bilashaka watakuwa wamemvuruga huyo mwananchi..."chezea akili ya samaki weyee"...
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,384
Points
1,225
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,384 1,225
Unataka kusema wahutu wamekuulia mama yako ama ni Watanzania wameumua kumuua mama yako simply because ni mtusi? Funguka ili watu waweze kuchangia ipasavo la sivo story yako haina mashiko
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,578
Points
2,000
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,578 2,000
Hujafunguka ipasavyo mkuu! what is the base for your sorrows? why hatred? just cos you are Tutsi?
the truth is, my mother have been killed yesterday on hatred bases. alivamiwa usiku na watu wasiojulikana and she was murdered. alikuwa akiishi wilaya ya Ngara. she have been there since independence. she was a widow, as my father past away long time ago. alikuwa ni mfugaji na nimesoma nikitegemea uchumi wa familia uliotokana na ufugaji wa ng'ombe. tumekuwa victim kwa muda mrefu just because we look like tutsi. the only thing made us to survive was because we were humble and tolerant. tume survive a lot of attempt, from bad people as i have said but finally they have succeeded.

my experience:

niliomba kwenda jeshini, but i was rejected on the reason that my citizenship is highly questionable. nikiwa secondary, the situation was worse kwani niliitwa mkimbizi kila kona ninayoenda. undergraduate, nilitaka nigombee uongozi katika Chuo Kikuu but the situation was bad. kwa uchache, hata Hospital, i can be asked to provide identity hata kama wengine hawajaombwa waonyeshe vitambulisho. ndo maana nauliza kama to look like foreigner amount to sin?

nimekuwa mwalimu wa university katika sehemu mbalimbali katika Africa and i did my best to help my fellow Tanzania achieve their goals. what should i do?

God Knows
 
O-man

O-man

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Messages
319
Points
195
O-man

O-man

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2011
319 195
Nimeshindwa kubaini nini haswa kimemsibu huyu ndugu yangu wa kufikia. Nahisi ana machungu na majonzi lakini nini kilimtokea ni yeye atueleze ili tujadili/tumshauri.
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,578
Points
2,000
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,578 2,000
Please open up Prof. What happened? Where and when? Who is the cause?
the truth is, my mother have been killed yesterday on hatred bases. alivamiwa usiku na watu wasiojulikana and she was murdered. alikuwa akiishi wilaya ya Ngara. she have been there since independence. she was a widow, as my father past away long time ago. alikuwa ni mfugaji na nimesoma nikitegemea uchumi wa familia uliotokana na ufugaji wa ng'ombe. tumekuwa victim kwa muda mrefu just because we look like tutsi. the only thing made us to survive was because we were humble and tolerant. tume survive a lot of attempt, from bad people as i have said but finally they have succeeded.

my experience:

niliomba kwenda jeshini, but i was rejected on the reason that my citizenship is highly questionable. nikiwa secondary, the situation was worse kwani niliitwa mkimbizi kila kona ninayoenda. undergraduate, nilitaka nigombee uongozi katika Chuo Kikuu but the situation was bad. kwa uchache, hata Hospital, i can be asked to provide identity hata kama wengine hawajaombwa waonyeshe vitambulisho. ndo maana nauliza kama to look like foreigner amount to sin?

nimekuwa mwalimu wa university katika sehemu mbalimbali katika Africa and i did my best to help my fellow Tanzania achieve their goals. what should i do?

God Knows
 
kupe

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
1,027
Points
1,250
kupe

kupe

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
1,027 1,250
Uliomba uende jeshini ili ukawe mwanajeshi then ufanyaje?????? Au ndio mambo ya visasi hayo.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,491
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,491 2,000
Prof mbona usomeki? Una ushahidi gani kwamba hao waliomuua ni kwa ajili ya chuki? Kama halikuwepo hapo tangia uhuru iweje ndio wamuue jana?
 
ojoromong'o

ojoromong'o

Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
91
Points
0
ojoromong'o

ojoromong'o

Member
Joined Nov 6, 2012
91 0
the truth is, my mother have been killed yesterday on hatred bases. alivamiwa usiku na watu wasiojulikana and she was murdered. alikuwa akiishi wilaya ya Ngara. she have been there since independence. she was a widow, as my father past away long time ago. alikuwa ni mfugaji na nimesoma nikitegemea uchumi wa familia uliotokana na ufugaji wa ng'ombe. tumekuwa victim kwa muda mrefu just because we look like tutsi. the only thing made us to survive was because we were humble and tolerant. tume survive a lot of attempt, from bad people as i have said but finally they have succeeded.

my experience:

niliomba kwenda jeshini, but i was rejected on the reason that my citizenship is highly questionable. nikiwa secondary, the situation was worse kwani niliitwa mkimbizi kila kona ninayoenda. undergraduate, nilitaka nigombee uongozi katika Chuo Kikuu but the situation was bad. kwa uchache, hata Hospital, i can be asked to provide identity hata kama wengine hawajaombwa waonyeshe vitambulisho. ndo maana nauliza kama to look like foreigner amount to sin?

nimekuwa mwalimu wa university katika sehemu mbalimbali katika Africa and i did my best to help my fellow Tanzania achieve their goals. what should i do?

God Knows
...dah!...pole sana ndugu,labda nikuulize msimamo wako wa kisiasa ukoje?...nimekuuliza makusudi coz hii serekali ukitofautiana nayo uraia wako lazima uwe mashakani,mifano ipo mingi lakini Ulimwengu wa Raia mwema ndo mfano mzuri...ukiimba nao wimbo mmoja utakuwa salama,hapo unaweza kutoka ata Somalia na ukaishi kwa amani na hata madaraka ukapewa...
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,578
Points
2,000
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,578 2,000
Uliomba uende jeshini ili ukawe mwanajeshi then ufanyaje?????? Au ndio mambo ya visasi hayo.
am sorry umeni quote vibaya. i was not looking for vengeance but to serve my country as we both do. anyway, thanks for your comment. be blessed
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,146
Points
1,250
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,146 1,250
the truth is, my mother have been killed yesterday on hatred bases. alivamiwa usiku na watu wasiojulikana and she was murdered. alikuwa akiishi wilaya ya Ngara. she have been there since independence. she was a widow, as my father past away long time ago. alikuwa ni mfugaji na nimesoma nikitegemea uchumi wa familia uliotokana na ufugaji wa ng'ombe. tumekuwa victim kwa muda mrefu just because we look like tutsi. the only thing made us to survive was because we were humble and tolerant. tume survive a lot of attempt, from bad people as i have said but finally they have succeeded.

my experience:

niliomba kwenda jeshini, but i was rejected on the reason that my citizenship is highly questionable. nikiwa secondary, the situation was worse kwani niliitwa mkimbizi kila kona ninayoenda. undergraduate, nilitaka nigombee uongozi katika Chuo Kikuu but the situation was bad. kwa uchache, hata Hospital, i can be asked to provide identity hata kama wengine hawajaombwa waonyeshe vitambulisho. ndo maana nauliza kama to look like foreigner amount to sin?

nimekuwa mwalimu wa university katika sehemu mbalimbali katika Africa and i did my best to help my fellow Tanzania achieve their goals. what should i do?

God Knows
Bado hujaeleza sababu ya mamako kuuawa. Ni kwa vile tu ni Mtutsi? What was of interest to the murders? Walimuua ili iweje, wachukue nini? Na hizo hatreds zilikuwa kati yenu na nani? Hamuwezi kuwasuspect wauaji kutokana na mazingira. Sidhani kama ni utamaduni wa watanzania kuwaua watu wengine hata kama wangekuwa ni wageni unless kuna tatizo lingine ndani yake. Lazima tu kulikuwa na mgogoro mwingine hapo ambao haupo tayari kuuweka wazi.
Hata hivyo tunakupa pole sana kwa masaibu hayo. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,342
Points
2,000
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,342 2,000
...dah!...pole sana ndugu,labda nikuulize msimamo wako wa kisiasa ukoje?...nimekuuliza makusudi coz hii serekali ukitofautiana nayo uraia wako lazima uwe mashakani,mifano ipo mingi lakini Ulimwengu wa Raia mwema ndo mfano mzuri...ukiimba nao wimbo mmoja utakuwa salama,hapo unaweza kutoka ata Somalia na ukaishi kwa amani na hata madaraka ukapewa...
Hili nalo neno, ni wengi sana wamezushiwa kuwa siyo Raia pale walipogusa Maslahi ya Kikundi fulani cha watu. Wako radhi hata kukutoa roho alimradi maslahi yao yasiguswe. Labda huyu Mdau ni victim wa hayo halafu anatulaumu Watanzania wote?
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,578
Points
2,000
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,578 2,000
pole sana kwa masahibu yaliyokupata and i can understand that wakati unaandika hii thread ulikuwa na majonzi sana.very sorry,but one thing unatakiwa ujue for sure sio watz wote tuko hivyo na kama ukielezea zaidi unaweza pata msaada.pole sana mkuu
Thanks Chicco, sio watanzania wote wako hivo. kwa bahati mbaya nimekuwa muhanga/ victim of the circumstances. be blessed brother
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,578
Points
2,000
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,578 2,000
Bado hujaeleza sababu ya mamako kuuawa. Ni kwa vile tu ni Mtutsi? What was of interest to the murders? Walimuua ili iweje, wachukue nini? Na hizo hatreds zilikuwa kati yenu na nani? Hamuwezi kuwasuspect wauaji kutokana na mazingira. Sidhani kama ni utamaduni wa watanzania kuwaua watu wengine hata kama wangekuwa ni wageni unless kuna tatizo lingine ndani yake. Lazima tu kulikuwa na mgogoro mwingine hapo ambao haupo tayari kuuweka wazi.
Hata hivyo tunakupa pole sana kwa masaibu hayo. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.
Thanks Lukolo. the truth is, hatujawahi kuwa kwenye mgogoro wowote na mtu yeyote. lakini kama unavyojua kwenye jamii ukiwa na maendeleo siyo wote wanafurahi hata kama unafuga ng'ombe tu.
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,146
Points
1,250
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,146 1,250
Thanks Lukolo. the truth is, hatujawahi kuwa kwenye mgogoro wowote na mtu yeyote. lakini kama unavyojua kwenye jamii ukiwa na maendeleo siyo wote wanafurahi hata kama unafuga ng'ombe tu.
Pole sana ndugu, kwa kweli inasikitisha sana. Mungu akupiganie!
 
Forum statistics

Threads 1,404,931
Members 531,842
Posts 34,472,119
Top