Wananchi wote wa Tanzania ni lazima mujiulize siku chache zilizopita kwa wale mulioshuudia tukio lile..hapa mjini Arusha..rais wa Uganda, Rwanda pamoja na Burundi hwakuuzuria hafla hiyo..
Tetesi...
Za mchana jamani.
Naombeni kunijuza sehemu nzuri za kupata massage therapy kwa hapa Dar,
ukiweza kuweka na gharama nitashukuru sana na pia sehemu zilipo.
Hadi leo tar. 2 ya mwezi huu,mishahara ya mwezi Novemba bado haijatoka. Si kwa wenye akaunti kwenye Benki ya Makabwela,Benki ya Taifa ya Biashara,Benki ya Maendeleo Vijijini wala kwingineko...
Baada ya chama cha mapinduzi kuelemewa na kashfa za wizi na ufisadi wa mali ya umma huku vijana wake na mawaziri wenye umri mdogo wakiwa wananuka rushwa na kuwa na vito vya thamani kwa haramu...
Mon, Dec 3rd, 2012
Tanzania |
By In2EastAfrica Reporter
The Tanzania National Parks (TANAPA) is in the process of building tourist hotels in a number of the country's National Parks...
Sunday, December 2, 2012
SHEREHE YA KUWAPONGEZA WAHESHIMIWA YA FANA NEW YORK
Sherehe za kuwa pongeza na kuwakaribisha waheshimwa ma balozi picha na matukio, hapa ni meza kuu ambayo waliketi...
Wadau wengi tunatambua ni jinsi gani jina la Kibonde mara litajwapo humu ndani linavyochafua hali ya hewa. Clouds leo wametoa nafasi ya kuwachana kwa kutuma msg, mimi nilikuwa mpenzi mkubwa wa...
Uzito wa Kg 407 wasababisha Vilma Soltesz kufariki dunia baada ya kukataliwa na mashirika matatu ya ndege kupanda
kwasababu ya uzito wake ili kusafiri kutoka Hungary kwenda US kwaajili ya...
Wakati taifa la China lina umri sawa na Tanzania leo China uchumi wake uko juu ,technologia iko juu watu wa China wanakunywa maji safi na kuoga ,hali ipo tofauti hapa Tanzania. Wakazi wengi...
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema asilimia kubwa ya Watanzania hawapati haki zao zote kama sheria zinavyoelekeza. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa...
Vodacom acheni uongo
NIliamua kufuatilia matangazo ya Vodacom kuhusu kutuma pesa bure ni uongo, wanakata. Hata ukituma then wakatuma ujumbe kuwa umeongezewa Tshs. 200/= ni uongo tu...
Wanajamii jana usiku maeneo ya tegeta nimepoteza pochi yangu ikiwa na vitambulisho vya kazi leceni ya gari Itm card za NMB Na DCB bima ya AFYA Kadi ya mpiga kura vyote vikiwa na Jina la AMAN...
Jengo la Baytil Ajaib Makumbusho Kuu labomoka
Baiytul Ajaib House of Wonders lilivyoathirika
Gari likiwa limeangukiwa na kifusi cha sehemu ya jengo lililoporomoka
Sehemu ya jengo la...
Minister gives Biz Class seat to special-needs girl
By Staff
Published Monday, December 03, 2012
Saudi Arabias minister of social affairs gave his first class seat to a crippled Bahraini...
Nitawajuza
Update:
Jamaa(Majambazi) walikuwa wa4 walitaka kupora fedha kwenye begi ambazo ni zaidi ya mil50 lkn wameshindwa kuzichukua lakini wamempiga risasi ya mguu dereva wa daradara,jambazi...
Nilishawahi kueleza tena hapa, na wachangiaji wengi wakaunga mkono. Nimeshapiga customer service zaidi ya mara tano kuhusu hili tatizo, bila mafanikio...
Can you imagine.... Nina mgonjwa na nataka...
Nimeona watu wakilalamika sana kuhusiana na suala zima la kuibiwa muda wa maongezi au transaction wanazozifanya kupitia mitandao mbalimbali hapa nchini, na pindi wanapotafuta mtu wa kuweza...
Kama ilivyo kawaida yetu umoja na upendo ndiyo silaha yetu makamanda wa CHADEMA tukiongozwa kamanda wetu Lema, tutatua mida ya saa sita mchana tukitokea Arusha na usafiri wa fastjet kwenye uwannya...
Hivi jamani kwa mara kadhaa nimepita.mandera road na mara nyingi hizi taa za kumulika usiku zinakaa zinawaka, je Tanesco hivi ndo vigezo mtatumia kutupa mgao, kutuuzia nguzo million na uchafu...