Serikali iwajali wakulima na wafugaji,hatua hiyo itapelekea maendeleo ya taifa.

Ibrahimu Juma

Member
Sep 4, 2012
39
0
Nasikitishwa na ahadi zitolewazo na viongozi wetu kipindi cha kampeni,pia hata viongozi wa kuteuliwa kwani utendaji wao si sawia na ahadi wazitoazo kwa wawateuao na wananchi.Suala la wakulima na wafugaji,kwanini serikali hailitendei kazi ipasavyo!.Maafsa wa maliasili kuua ng'ombe kwa kutumia risasi kule wilaya ya Biharamulo(Kagera) ni ukatili tena ni uvunjaji wa sheri za wanyama,serikali isiwafumbie macho Maafsa wa wanyama pori hao.Wao ni Maafsa wa kuwalinda wanyama kwa kufuata sheria na sio kuwaua,kama wafugaji hao walifanya makosa kwanini Maafsa hao hawakufuata sheria ili kuwaadhibu wafugaji hao na kujichukulia sheria mkononi ya kuua ng'ombe!,uchukuaji wa sheria mkononi kama huu ni hasara kwa Taifa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom