SITACHOKA KUULIZA KESI YA NAPE vs CHADEMA na pia CUF na V4C Kulikoni!!!

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
135
Jamani wanabodi matamshi ya Mnauye kuhusu rasilimali zetu kutumiwa kuhonga chadema kupata misaada ilipelekea CHADEMA Wamsihi aombe radhi hakufanya hivyo Wakafungua kesi jamani Mnauye, Chadema, watumishi wa mahakama na wanajamii nini kimeifanya isiendelee
CUFU Mlizindua V4C Kulikoni mliwakusanya watu na vyombo vya habari vikahabarisha kuhusu harakati zenu kwa kutumia V4C Kulikoni kimya au majukumu ya malezi magumu mmezibwa midomo na nani mzee (sisimu) au nini basi
 
Back
Top Bottom