Nimewahi kuiona mwaka 2010 kwenye king'amuzi cha Startimes kipindi hicho nilikuwa sijanunua king'amuzi. Naomba kujua King'amuzi gani inapatikana? aNimenunua Kifurushi cha Uhuru inaweza kuwa inapatikana kwenye KILI? Wajuzi naomba mnifahamishe.