Mifuko ya hifadhi ya Jamii, Si dhani kama ina tija kwa wanachama wake, hasa huu wa NSSF

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,210
Interest ya 1% for year, Inamaanisha kama una 10,000,000/= unapata 100,000/= kwa mwaka.
Wameweka benefits za uongo na kweli kama Matibabu, Msaada wa Mazishi, Wajawazito

Matibabu
NSSF wameingia mikataba na baadhi ya Hospitals. Huduma za hizo hospitals ni matatizo, huduma nyinyi ni za kujununulia. Mfumo wanao tumia NSSF ni mbaya sana, auna tija kwa wafanyakazi wanao changia.

Ukija kwa mikopo yao kupitia SACCOS.
Kila SACCOS in katiba yake na mikakati yake, mwanachama uwezi kwenda pale ukapewa mkopo utakao.
Kama wapo computerized kwa nini mwanachama sina haki ya kupata mkopo moja kwa moja kutoka NSSF hili hali wa pesa zangu.

Kama wachangiaji wa mifuko hii, yatupasa kulalamikia taratibu za mifuko hii ya jamii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom