ITV na TBC acheni kuonyesha picha/vipindi bila sensorship

ftilu

Member
Jul 20, 2012
13
1
TCRA na wadau wengine, nimekuwa nikifuatilia vipindi kadhaa vya filamu kupitia ITV na TBC esp. vya marudio mda wa mchana. Kinachonisikitisha ni kuwa, tofauti na channels za DSTV ambazo huwa zina rating kama Fam, PG, PG12 etc hawa ITV na TBC hawana na bado wanalazimisha kuonyesha vipindi ambavyo kimsingi havina rating hata ya Family (Fam). Hii ni hatari kwa taifa letu kwa upande wa maadili ya watoto wetu wanaokuwa nyumbani.

Ushauri : Tusing'ang'anie ving'amuzi tu bali hawa mabwana walazimishwe pia kuweka rating ... sifahamu inahitaji nini kiufundi ila ni muhimu kulifanyia kazi hili jambo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom