OfisizaTUICO

Lis

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
471
343
Habari Wadau,

Naomba mnifahamishe hawa TUICO wanahusika na nini? Please nahitaji msaada wenu.
 

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,974
Ni chama cha wafanyakazi wa Taasisi za fedha, viwanda na biashara. Wana ofisi zao kila mkoa na kuna katibu na Ps wake. Over!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom