Mbogo Junior
JF-Expert Member
- Jan 21, 2012
- 257
- 72
Jamani mfano wa kuigwa hata serikalini. Matumizi ya mafuta na gharama za uendeshaji ni ndogo.
Jamani mfano wa kuigwa hata serikalini. Matumizi ya mafuta na gharama za uendeshaji ni ndogo.
Kwa mbunge kama Mnyika inamfaa sana maana anaweza kuwafikia wananchi wake bila shida.lakini c gari nzuri kiusalama, ni nyepesi sana inafaa kwa misele ya hapa na pale tu! kwa harakati za majukumu ya ubunge haifai kabisa
tusiangalie fuel consumption tu, tuangalie idara zote
QUOTE=Goodrich;5167529]Anawezaje kumudu majukumu yake kwa kutumia gari aina hiyo ambayo haiwezi hata kupita barabara za msakuzi ? Nadhani kwa dhamana aliyonayo, na kwa usalama ni vema kutumia Land Rover S/W, Nissan etc ambazo pia ni economical.
Twende na hali halisi njia zetu nyingi bila 4W drive hupiti kirahisi na mkopo wa kuwa na gari kama hilo alipewa bungeni.
upo sahihi sana, kama marehemu chacha wangwe angekuwa amepanda gari tofauti na Toyota corolla limited labda hadithi ingekuwaa tofauti.lakini c gari nzuri kiusalama, ni nyepesi sana inafaa kwa misele ya hapa na pale tu! kwa harakati za majukumu ya ubunge haifai kabisa
tusiangalie fuel consumption tu, tuangalie idara zote
Mkuu, Wewe unayo sababu yako na siyo hilo gari.