Mzungu achinjwa kinyama na chokoraa anaemfadhili

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Hili tukio limetokea wiki mbili zilizopita mkoani Arusha,.....kijana mmoja chokoraa,kama watu wengi walivyozoea kuwaita alikua anapewa matunzo yote na huyo mzungu.hata mzungu pindi yupo ulay alikua akimtumia hela na vitu vingine vingi tu.siku ya siku imewadia,mzungu kampigia jamaa simu kua nakuja uje unipokee uwanja wa ndege.jamaa kweli kajipanga kachukua tax uwanja wa ndege alakini akiwa ameandamana na rafiki yake .
Kufika KIA (kilimanjaro international airport) mzungu kashuka na mijizawadi kibao.afari ikaanza kuelekea mjini,walipofika mitaa ya kwa mrefu dereva tax akaambiwa abadili muelekeo,yaani wakaacha main road ya kuja mjini wakaingia migombani alakini ni njia inayoingia kwenye nyumba za watu na pia kuna mahoteli pia along hiyo njia.dereva tax mara akaona kama kuna hali isiyo ya kawaida huko nyuma walipo abiria wake.kugeuka akasikia mzungu anawaambia hao jamaa why are u want to kill me??...
Dereva kugeuka nyuma akanyooshewa sime na kuamriwa atulie na afuate maelekezo tofauti na hivyo nae angedhuriwa
basi jamaa wakaendelea na kazi yao ya kumchinja mzungu.walipomaliza wakamuamuru dereva aelekee njia iendayo kwa morombo,ni nje ya njini alakini ni sehemu iliyo na watu wengi sana waliojikomboa kwa kujenge nyumba zao japo ndio vile tena,miundo mbinu hakuna kabisa.
Walipofka huko kwa morombo wachimba shimo na kumfukia huyo dada wa kizungu kwa jina anaitwa SUZAN anatoka USA.basi jamaa wachukua vitu vyote na kumuamuru yule dereva tax awapeleke gheto wanakoishi.baada ya dereva kuwashusha ilikua usiku mnene,dereva akawa na subira mpaka asubuhi akaenda kutoa taarifa polisi.
Chaajabu jamaa bado wakawa ndani wanaendelea na shuguli zao ingawa haijulikani ni nini walichokua wakifanya.
Askari waligonga mlango na jamaa walipoona ni maaskari mmoja wao alifanikiwa kukimbia alakini yule mtuhumiwa namba moja yupo magereza kwa sasa.
Inasikitisha sana sasa sijui ndio tuseme kua kila kifo kina sababu ,au ndio ile wanasema hujui utajafia wapi au kifo cha namna gani.so sad.
 
KIMAROO

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
453
258
hayo ni matamaa ya ajabu na ukosefu wa elimu huyo **** angetulia na huyo mzungu angekula maisha fresh ila sasa limetaka kutoka mapema sasa kamshika jaluo sharubu anategemea kaka mkubwa atamwacha??? mwacheni akanyee debe ***** yeye
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,539
9,435
Duuh.. Mungu amuweke mahali pema peponi huyo mama alieponzwa na wema wake.. As for that chokoraa muhimu kwanza angeangaliwa akili zake baada ya hapo apate hukumu inayomstahili..
 
TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Wazungu wengi huacha waume zao Ulaya Na kuja kujirusha Na digidigi wasio Na mbele wala nyuma, tena huzungukia vituo vya watoto yatima Na kujichagulia wataowapenda, huwapa kila kitu Kwa mawasiliano Na off course hujipanga kuwaendeleza kielimu lakini kila wakitembelea nchi Za kiafrika vijana hao ndio wa kuwastarehesha.. Hupenda sana mayatima Kwa sababu wanaamini hao hawana family enticement nyuma Yao..

Utakuta mzungu mmoja ana boyfriend karibia nchi kumi Za Africa, mmama huyo anaaga Kwamba ana spesho jute Africa kumbe anakuja starehe tu, unakuta kakijana kamesuka mirasta kako Na dada au mmama wa kizungu ..

Wafadhili wameshakatazwa kutoa direct misaada pasipo kupitia Chanel Husika.. Lazima Ubalozi wake ujue Na serikali ijue pia nani yuko wapi Na anamsaidia nani Na kwanini.. Na kila ujio lazima ujulikane Na zaidi ya Mtu mmoja.. Direct conversation haitakiwi Kwa Sababu Za kiusalama, kibinaadam Na Sheria Za nchi.. Lakini wazungu hawa hawataki Kwa Sababu wana mambo Yao hawataki yajulikane.. Hatufurahii kifo Chake lakini iwe SAUTI Kwamba waache matendo Yao Machafu Kwa Waafrika..
 
PLATO MAGELE

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
203
54
Hili tukio limetokea wiki mbili zilizopita mkoani Arusha,.....kijana mmoja chokoraa,kama watu wengi walivyozoea kuwaita alikua anapewa matunzo yote na huyo mzungu.hata mzungu pindi yupo ulay alikua akimtumia hela na vitu vingine vingi tu.siku ya siku imewadia,mzungu kampigia jamaa simu kua nakuja uje unipokee uwanja wa ndege.jamaa kweli kajipanga kachukua tax uwanja wa ndege alakini akiwa ameandamana na rafiki yake .
Kufika KIA (kilimanjaro international airport) mzungu kashuka na mijizawadi kibao.afari ikaanza kuelekea mjini,walipofika mitaa ya kwa mrefu dereva tax akaambiwa abadili muelekeo,yaani wakaacha main road ya kuja mjini wakaingia migombani alakini ni njia inayoingia kwenye nyumba za watu na pia kuna mahoteli pia along hiyo njia.dereva tax mara akaona kama kuna hali isiyo ya kawaida huko nyuma walipo abiria wake.kugeuka akasikia mzungu anawaambia hao jamaa why are u want to kill me??...
Dereva kugeuka nyuma akanyooshewa sime na kuamriwa atulie na afuate maelekezo tofauti na hivyo nae angedhuriwa
basi jamaa wakaendelea na kazi yao ya kumchinja mzungu.walipomaliza wakamuamuru dereva aelekee njia iendayo kwa morombo,ni nje ya njini alakini ni sehemu iliyo na watu wengi sana waliojikomboa kwa kujenge nyumba zao japo ndio vile tena,miundo mbinu hakuna kabisa.
Walipofka huko kwa morombo wachimba shimo na kumfukia huyo dada wa kizungu kwa jina anaitwa SUZAN anatoka USA.basi jamaa wachukua vitu vyote na kumuamuru yule dereva tax awapeleke gheto wanakoishi.baada ya dereva kuwashusha ilikua usiku mnene,dereva akawa na subira mpaka asubuhi akaenda kutoa taarifa polisi.
Chaajabu jamaa bado wakawa ndani wanaendelea na shuguli zao ingawa haijulikani ni nini walichokua wakifanya.
Askari waligonga mlango na jamaa walipoona ni maaskari mmoja wao alifanikiwa kukimbia alakini yule mtuhumiwa namba moja yupo magereza kwa sasa.
Inasikitisha sana sasa sijui ndio tuseme kua kila kifo kina sababu ,au ndio ile wanasema hujui utajafia wapi au kifo cha namna gani.so sad.

Inasikitisha sana.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
59,691
119,791
Wazungu wengi huacha waume zao Ulaya Na kuja kujirusha Na digidigi wasio Na mbele wala nyuma, tena huzungukia vituo vya watoto yatima Na kujichagulia wataowapenda, huwapa kila kitu Kwa mawasiliano Na off course hujipanga kuwaendeleza kielimu lakini kila wakitembelea nchi Za kiafrika vijana hao ndio wa kuwastarehesha.. Hupenda sana mayatima Kwa sababu wanaamini hao hawana family enticement nyuma Yao..

Utakuta mzungu mmoja ana boyfriend karibia nchi kumi Za Africa, mmama huyo anaaga Kwamba ana spesho jute Africa kumbe anakuja starehe tu, unakuta kakijana kamesuka mirasta kako Na dada au mmama wa kizungu ..

Wafadhili wameshakatazwa kutoa direct misaada pasipo kupitia Chanel Husika.. Lazima Ubalozi wake ujue Na serikali ijue pia nani yuko wapi Na anamsaidia nani Na kwanini.. Na kila ujio lazima ujulikane Na zaidi ya Mtu mmoja.. Direct conversation haitakiwi Kwa Sababu Za kiusalama, kibinaadam Na Sheria Za nchi.. Lakini wazungu hawa hawataki Kwa Sababu wana mambo Yao hawataki yajulikane.. Hatufurahii kifo Chake lakini iwe SAUTI Kwamba waache matendo Yao Machafu Kwa Waafrika..

mkuu hii habari yako haihusiani wala kufanana na tukio hili husika kwani dada huyu aliyechinjwa alikua chini ya shirika la kusaidia watoto wasiojiweza na alikua anaishi hapa hapa arusha kwa mda mrefu sana ila alienda Ulaya mda kidogo na sasa alikua anakuja Arusha kwa ajili ya graduation ya watoto wawili wanaomaliza shule chini ya msaada wa kituo hicho cha msaada.
Huyu aliyemchinja mzungu alionekana shule haiwezi ivyo kituo kiliamua kumjengea nyumba na kumtafutia shuhuli za ufundi sasa huenda tamaa zake zimemponza ila huyu mzungu alikua in good faith na tumekaa naye miaka mingi haingii kwenye hilo kundi unalolijadili.
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
61,936
67,707
Halafu unaweza kukuta mivitu yenyewe iliyoiba ni biskuti, pamba za krismasi na mazagazaga yasiyo na mpango...machalii wa Arusha sijui kwa nini wana roho mbaya sana
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,637
Huyu mzungu alimspot vipi huyo chokoraa? by the way kwa nini umsaidie mtu mzima na akili zake? kwa nini alikuwa haelekezi misaada yake kwa watu wenye uhitaji? what if jamaa aliona anapata kidogo kuliko anachochukua mzungu, japo hii sio sababu ya kuua.
 
Sideeq

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
2,422
430
Halafu unaweza kukuta mivitu yenyewe iliyoiba ni biskuti, pamba za krismasi na mazagazaga yasiyo na mpango...machalii wa Arusha sijui kwa nini wana roho mbaya sana
Kama nimeelewa sawasawa huyu ni mtoto yatima aliyekosa penzi la wazazi wake...kisaikolojia mtu aliyekulia katika malezi ya namna hii haistaajabishi kuja kufanya kitendo cha kinyama.

Jaribuni kuwaunganisha Masheikh na vituo vyenu vya wayatima ili watoto wapate spiritual support.
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,942
9,741
Kweli ndiyo maana siku hizi huwa sitoi tena msaada kwa hivi vituo!! Ninaelekeza kwa familia duni ambazo wazazi hawawezi kusomesha na watoto ni descent. Kwisha habari!! Vituo vyenyewe ni vkizungumkutu!! Walezi wa vituo ni wafanya usanii na misaada!! Mwishowe ni kukua kama huu mama Suzan (pumzika kwa amani).
 
kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,034
322
Tena wababa/wamama wengine wa kizungu wanatoka kwao na ukimwi kuuzungusha africa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom