Bei ya mafuta ya Petroli, Disel juu tena!

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,490
2,000
Jana nilikwenda kujaza mafuta kwenye gari yangu nikakuta mafuta yamepanda bei!

Nawahurumia watanzania kwani humu jamii nikiona watu wanasifia ccm eti wamepata viongozi wazuri nawashangaa.
Wapigania maendeleo ya nchi hii tunakazi kubwa ya watanzania kujitambua kwanza, na kujua maendeleo ninini, na kufanikiwa kwa uongozi ni vitu gani vinaashiria mafanikio.
KWELI HALI NZURI YA MAISHA ITABADILIKA KWA VIONGOZI WETU TULIONAO? HEBU TUPEANE MAWAZO TUTAJIKOMBOAJE? MBONA KADRI CKU ZINAVYO ZIDI SONGA MBELE WATANZANIA HALI INAKUWA MBAYA? HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUTUMIKA?
 

mceddy

Senior Member
Apr 16, 2012
106
0
Hili swala la mafuta serikali ytu ya Tanzania imezdi kufumbia macho na hii ni kwa sababu mashangingi yao haya pati shida ndgo ndgo mafuta yao ni yakugaiwa kw madrum hvi kwel leo hii uta mwambia kiongozi hali tyt mafutA bei juu aelewe wkti gari lake hali fahamu nusu tank labda drver acha chue
 

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,490
2,000
Hili swala la mafuta serikali ytu ya Tanzania imezdi kufumbia macho na hii ni kwa sababu mashangingi yao haya pati shida ndgo ndgo mafuta yao ni yakugaiwa kw madrum hvi kwel leo hii uta mwambia kiongozi hali tyt mafutA bei juu aelewe wkti gari lake hali fahamu nusu tank labda drver acha chue

Just imagine wiki zilizopita tumemwona Rais akizindua mradi wa gesi kutoa mtwara, huku kuna madini yanachimbwa. Kweli tunavyosikia madini nimengi yanashindwa ku-stabilize Uchumi wetu?
 

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,490
2,000
Unapiganiaje maendeleo ya nchii hii, hebu nieleweshe mkuu.

Naona hilo swali iwe homework lkn jiulize kwani nchi nyingine wanafanyaje. sio sisi tunajivunia miaka hamsini ya uhuru wakati tumepigika! Tukijitambua watanzania itakuwa kazi rahisi lakini tukiwa kama Ritz tutasubiri kufundishwa jinsi ya kufanya
 

MLERAI

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
668
475
Hii tanzania yetu kinachoshuka ni idadi ya wapiga kura tuu vitu vingine vyote kila kukikucha vinazidi kupanda juu.
 

cheichei2010

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
932
195
Muulize Nape, na Genge la wezi wa mali za Umma.Wako radhi waendelee kukaa madarakani huku uchumi wa nchi ukivurugika, na wao kupita majukwaani kuisifia CCM na serikali yake, kwa gharama yoyote wakati wakijua wameharibu nchi.Saa hizi wanaacha kutekeleza ilani wanahangaika kutafuta uraisi wa 2015.hakuna anayejali.Unategemea kwa hali hii nchi itaenda?na bado kuna watu wenye vichwa visivyo fikiri wanataka CCM iendelee kubaki madarakani.
 

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
2,000
Suala la mafuta litaendelea kuwa gumu mpaka 2015, au mpaka siku Vigogo na watoto wao watakapojitoa katika biashara hii !
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,619
2,000
Tatizo ata wakubwa nao wana makampuni ya Mafuta so kwao ni faida wewe endelea kutaabika kama mabaga fresh
 

Baba mtata

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
280
0
Bora wewe mwenye gari anayeumia zaid ni mtanzania wa hali ya chini ambaye hana uhakika wa kula milo miwili kwa cku.Kuna haja ya ukombozi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom