Kampuni ya Vodacom yaharibu miundombinu ya tanesco.

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,638
Wamekata lines maeneo ya jangwani hvyo wamesababisha maeneo mengi ya dsm kukosa umeme!!

Source:Tanesco
 
Vodacom siku hizi wanakata line za umeme?
Mkuu eleza kama mnara wao umeangukia miundombinu ya umeme.

Nimesikia tangazo lao kutoka redioni kwamba wanasikitika kwa wateja wao kukosa umeme 7bu ya miundombinu yao maeneo ya jangwani kuaribiwa na kampuni ya vodacom...Kama kuna mtu yupo maeneo ya jangwani anaweza kutupa updates kama mnara wao umeangukia line au wakati wanapitisha fibre labda wakaangusha nguzo!
 
Back
Top Bottom