NBC kulikoni?

NBC kulikoni?

Fofader

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
864
Reaction score
301
Jioni ya leo nimeshindwa kupata fedha kutoka ATM ya NBC nikiambiwa account yangu haiwezi kufanya transaction yeyote. Nimeshuhudia pia watu kadhaa wakifikwa na hali kama hii. Lakini nikiendelea kuzubaa hapo hapo nisijue la kufanya watu kadhaa wameweza kutoa hela. Ajabu nyingine nimeshuhudia kifuniko kilichoongezwa juu ya keypad. Je hii ina maana kuna watu walikuwa wanatumia camera kujua password za watu? Lengo la vifuniko hivi ni nini?
Niko broke. NBC hoyeeeeeeeee.!!


Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
 
Haya ndiyo matokeo ya kubinafsisha mali za umma kwa makampuni yenye uhusiano na watawala wezi. Mkapa at work through Net Group Solution and stuff. Shame on them all even the wananchi who are allowing themselves to be taken for a ride.
 
mwanangu kama mliingiza card zenu kwenye hiyo key pard imekula kwenu mjiandae kuibbiwa hela zenu ushauri wa bure mka block account zenu.
 
Benki hii ni ugonjwa mwingine wa moyo, yaani ni shida tupu kwenye sehemu kubwa ya mifumo yake. Kuhusu mifuniko kwenye ATM nasikia ni kwa sababu kuna hela za wateja zimeibiwa kupitia hizo ATM.
 
NBC wapumbavu sana hao watu ikishafika saa mbili mpaka saa tatu hauwezi toa hela kwa sababu wasouth wanafunga mahesabu so wanashutdown transactions za ATM vuta subira tu!!!
 
Duh, watu bado mna account za NBC? Hii benk mimi ilishanishinda siku nyingi sana. Yaani bora hata ya NMB ambayo ni benk ya umma kuliko hawa makaburu. Kwa sasa benk zenye kukuhakikishia upatikanaji wa hela wakati wowote na hudumu nzuri ni CRDB na Barclays. At least I enjoy their services, japo zile za CRDB sometimes huwa zinaboa kutokana na majibu ya hovyohovyo ya wahudumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom