ITV: U wapi mrejesho wa kipima joto chenu

ITV: U wapi mrejesho wa kipima joto chenu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Kwa kipindi cha miaka kadhaa sasa, kituo cha Television cha ITV kimekuwa kikiendesha kipindi cha kipima joto ambacho kinaendeshwa kwa mtindo wa kuuliza maswali ambapo kwa asilimia kubwa majibu mengi yanakuwa ni hasi kuliko chanya. Kwa uzoefu wangu mara nyingi unapoendesha kitu kama hacho lazima urudi kule kuangalia kama kuna mabadiliko yoyote ambayo yamefanyika baada ya muda fulani na kuleta mrejesho kwa wadau. Sasa kama ITV hamfanyi hivyo kuna sababu gani za kuendesha kipindi hicho?
Ni maoni. Tafakalini.
 
Back
Top Bottom