Kwa wanaopanda daladala na Town bus


P

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
1,571
Points
1,225
P

pilau

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
1,571 1,225
...............Kero zinaendelea kujitokeza siku hadi siku ndani ya magari yanayofanya town trip kama dala dala, vifodi au kama majina mbalimbali jinsi yanavyotambulika katika miji mbalimbali..... hapa ni baadhi ya kero hizo. 1. Daladala kupakia abiria popote na kukataa kuteremsha popote 2. Abiria kujipaka Perfume za shilingi 500/= inayotoa harufu ya kubana kifua/mapafu 3. Abiria kuingia na kisimu chake na kupiga muziki wa simu aliourekodi hata kama ndani ya bus kuna radio inayoongea 4. Abiria kuongea na simu kwa sauti kubwa ndani ya daladala na kuongea mambo mengine ya siri na ya uongo 5. Konda kukataa wanafuzi hata kama yeye kaishia darasa la 6 Naomba hapa chini ongezea kero unazozipata wewe............ ..
 

Forum statistics

Threads 1,285,560
Members 494,675
Posts 30,866,790
Top