Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa muda sasa Star TV haipatikani hewani hasa mikoa ya kanda ya kati au ndiyo digitali Wana JF nisaidieni kuwapa taarifa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu mi NATAMANI MWISHO DUNIA Ufike, maana Nimechoka na Matendo na Mambo yanatokea Nchii hii Tanzania, Kwani naw....... Sukari Juu, Unga Juu, Mafuta Juu, Umeme Juu, Maji Juu, Maharage...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Huu ni wizi kabsa,hata kadi ya benk ukipoteza au ikiharibka gharama yake hata nusu yake haifiki,hawa nao wababaishaji alafu kadi zao zinaharibka upesi na kirais sana. Kila kona wezi wamejaa ngoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ILIKUWA siku ya Jumapili, Septemba 9, mwaka huu, siku ambayo Mariam Chacha Samuel Magita (50) wa Kijiji cha Magoto, akiwa na watoto wake, Ester Chacha (10), Baraka Chacha (7) na Daniel Chacha (4)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni saa kumi jioni, Natoka zangu taratibu kuelekea mazoezini. Inanibidi nipande daladala na kusafiri umbali wa kilomita tano kufika uwanjani maana huku kwetu hakuna viwanja vya michezo. Hata shule...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Sasa waweza kusikiliza vituo vya radio 14 vya Tanzania ukiwa kokote duniani. Idadi ya Radio stations inaendelea kuongezeka na uchaguzi wako unaongezeka pia. Ingia www.radiostationstz.com usikilize...
3 Reactions
7 Replies
8K Views
Kila siku wanafanya vituko tu.! Kwenye nipashe la tar 14 december ukurasa wa 14 kuna habari ya mkuu wa wilaya ya karatu kuurudisha uongozi wa kijiji uliosimamishwa na mkutano mkuu wa kijiji kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ndiyo hali halisi. Nina ndugu yangu anayeishi Morogoro mjini. Kwa kiasi cha wiki mbili sasa amekuwa akihangaika kutafuta 55,000/= ili aweze kumwandikisha mtata wake darasa la kwanza katika...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na uzoefu lazima usinuke. Ukiwa mwili wako una harufu mbaya basi kazi huna. Ni China huko.Kwa mujibu wa gazeti la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania Becomes Africa's 2nd Largest Honey Exporter The sweet golden syrup from Tanzania's numerous bee farming operations has elevated the country to becoming Africa's 2nd-biggest producer of...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za uhakika kutoka kambi ya Samweli Sitta, zinaonyesha kuwa matumaini ya kuwa rais wa Tanzania 2015 yamefifia kabisa kutokana na sababu zifuatazo: 1/Kambi yake kushindwa vibaya sana ndani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watawala wetu wameyaishi maisha yao wakayamaliza kabisa. Wakaamua kuishi maisha ya Kizazi chetu nayo wameyamaliza kabisa. Kwa kuwa bado wapo hai sasa wameanza kuishi maisha ya watoto wetu. Sisi...
0 Reactions
6 Replies
960 Views
Ndugu wanajf. Tuungane kushusha chini Baraza jipya tarajiwa la serikali mpya ya Chadema kama Chama kitabahatika kushinda mwaka 2015. Naanza kutaja wafuatao kama chaguo langu; 1. Dr. W.Slaa -...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Dear friends, It is the time of the year, when we have to look back and thank all those around us who have made their presence felt in our lives. Merry Christmas to you and your loved ones, not...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
UCHAWI UCHAWI UCHAWI MWANAMKE huyu ambaye hakufahamika jina lake amekutwa katika mazingra haya jana alfajiri maeneo ya Ilomba Jijini Mbeya akiwa kama alivyozaliwa, Inadaiwa kuwa mwanamke huyu...
4 Reactions
32 Replies
8K Views
Wana jamii, naombeni dawa ya huyu Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mchikichini anakula michango ya wazazi, vilevile anawanyanyasa walimu wenzake kwamba hawamuwezi kwasababu ameiweka manispaa ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma, Robert Kitimbo anadaiwa kumtandika vibao ofini kwake, mtumishi wa Idara ya Afya ya Manispaa hiyo, Mwendwa Mhembano alipokwenda kudai fedha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Gazeti la Tz Daima , lenye mlengo wa kuegemea CHADEMA , limeingizwa mkenge na habari ya Mike Tyson kujigeuza jinsia kuwa na ile ya kike. Habari hii ilijitokeza hapa jamvini na ikajulikana kuwa si...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hongereni wana kilimanjaro kwa juhudi zenu binafsi. THE Gross Domestic Product (GDP) in Kilimanjaro Region has increased from 714.7m/- in 2005 to 1.4bn/- in 2012 while average per capita income...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Hii itasaidia kuwakumbusha wahusika huko jeshini na serikalini kiujumla kuongeza umakini ktk matumizi na uhifadhi wa vifaa vya kijeshi na kuzuia matukio mengine kutokea tena. Kuna kambi za jeshi...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Back
Top Bottom