Kadi ya startimes ikiharibika inauzwa 25,000


Salathiel m.

Salathiel m.

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
242
Points
195
Salathiel m.

Salathiel m.

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
242 195
Huu ni wizi kabsa,hata kadi ya benk ukipoteza au ikiharibka gharama yake hata nusu yake haifiki,hawa nao wababaishaji alafu kadi zao zinaharibka upesi na kirais sana. Kila kona wezi wamejaa ngoja nitafute king'amuzi cha kampuni ingine,niachane na wasensi.
 

Forum statistics

Threads 1,284,537
Members 494,169
Posts 30,830,994
Top