• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Interview ya urubani China, kukaguliwa kwapa kwanza

M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Messages
216
Points
0
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2011
216 0
Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na uzoefu lazima usinuke. Ukiwa mwili wako una harufu mbaya basi kazi huna. Ni China huko.Kwa mujibu wa gazeti la SZ News shirika hilo katika kuajiri marubaNi wapya lazima mtu ananuswa makwapa.
Ukiwa unakikwapa, au makwapa yako yana harufu unanyimwa kazi.
Kabla ya kuajiriwa katika shirika hilo la ndege. Hatua ya kwanza ni kunuswa kwapa zako.
Wakuu wa shirika hilo wanajitetea wakisema, kwa vile marubani wanafanya kazi karibu zaidi na watu basi ni lazima wasiwe na harufu ya kutisha kwani harufu mbaya ya miili yao au makwapa Kwa wateja, Je hii ni sawa kweli na hapa kwetu Bongo ianzishwe kwenye ajira za Makondakta wa daladalaElimu peke yake haitoshi kumpa mtu kazi.


Wanuswa kwapa kama mahojiano


Hata ujuzi pia hauna maana.
Huko ni China.
Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na
 
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Messages
8,621
Points
1,225
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2009
8,621 1,225
Na huku chini hawanusi........?
 
SHIEKA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
8,271
Points
2,000
SHIEKA

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
8,271 2,000
Huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Harufu ya kwapa haitokani na uzembe au ujinga wa mtu! Arm-pit odour is a productof body chemistry. Usafi na marashi hupunguza tu ukali wa harufu ila hauondoi harufu yenyewe. Uamuzi wa wahusika wa hilo shirikala ndege hawakutumia sayansi kufikia uamuzi wao ila wametumia pua zao tu.Masikini- nimekumbuka Tianamen Square!
 
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
3,938
Points
1,195
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
3,938 1,195
Huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Harufu ya kwapa haitokani na uzembe au ujinga wa mtu! Arm-pit odour is a productof body chemistry. Usafi na marashi hupunguza tu ukali wa harufu ila hauondoi harufu yenyewe. Uamuzi wa wahusika wa hilo shirikala ndege hawakutumia sayansi kufikia uamuzi wao ila wametumia pua zao tu.Masikini- nimekumbuka Tianamen Square!
Haki za binadamu china ?
 
S

sawabho

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,285
Points
2,000
S

sawabho

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,285 2,000
Interview ya namna hiyo ilipaswa kufanywa kwa wahudumu, wao ndio wanaopita karibu na watu kila wakati wakigawa chakula na vinywaji. Marubani hjifungia kwenye vyumba vyao pale mbele, unaowaona kwa mbali wakati unashuka. Wahudumu wawili wakati wa kushuka husimama pembeni ya mlango wa kutokea na kutwambia ..bye bye....hao ndio wanuswe kwapa.
 
yaser

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
1,366
Points
1,225
yaser

yaser

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
1,366 1,225
ingekua bongo cjui ingekuaje.
 
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Messages
216
Points
0
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2011
216 0
Hapoo sasa ukizingatia na joto la Bongo,
 

Forum statistics

Threads 1,403,290
Members 531,177
Posts 34,419,832
Top