Natamani mwisho wa dunia ufike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani mwisho wa dunia ufike

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bookschool, Jan 6, 2011.

 1. B

  Bookschool Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu mi NATAMANI MWISHO DUNIA Ufike, maana Nimechoka na Matendo na Mambo yanatokea Nchii hii Tanzania, Kwani naw.......

  Sukari Juu, Unga Juu, Mafuta Juu, Umeme Juu, Maji Juu, Maharage nayo kimbilio JUU. Sasa Wananchi wasio na uwezo au Kazi watafanyeje?, Na bado tena Siasa hiyo?
  Nazan Mwisho wa Dunia UFIKE, Ili watu wakapumzike- Nazani YOTE haya YATAISHA.
   
 2. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mapambano tu hakuna mwisho wa dunia
   
 3. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  unatamani kujiua pia?
   
 4. L

  LGMJAMII Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SchoolBook JIPE MOYO, Muombe MUNGU yote Yatakwisha, kuwa na Imani, Mungu ANAWEZA ndugu yangu, JIPE Moyo.
   
 5. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Usihofu ndugu, subiri tarehe 21 december 2012.
   
 6. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chagua CCM tena 2015
   
 7. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Umesahau pi idadi ya wanaoingia kuzimu juu
   
 8. UPIU

  UPIU JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 602
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  lawama ni kwa Dr Slaa anayesubotage mageuzi ya kweli kwa kusupoti mafisadi kwa mlango wa nyuma
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  je una uhakika na unachokinena?
   
 10. mwana wa mtemi

  mwana wa mtemi JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 297
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  He foresees the paediatric politician, kwa nini harudishi kadi ya chama makini?
   
 11. K

  King'amuzi 2015 Member

  #11
  Dec 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uwoga wewe! pambana mpaka kieleweke hapo ulipo wewe ndio uwe mwanzo wa mabadiliko tutaishi kifala mpaka lini? Aaaarrghh?
   
 12. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,026
  Likes Received: 1,396
  Trophy Points: 280
  Ndo hali ya dunia ndgu yangu.. Sasa kabla ya kutamani mwisho wa dunia he umejiandaa vipi kwenda kwa Muumba wako?????


  Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
   
 13. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ujjiandae usijiandae mwsho n mwsho tu msijambe maputo
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Maisha yakiwa juu uwezo wa watu wa kufikiri unashuka chini ndo maana wananunulika kirahisi na yule jamaa wa ccja nape
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  wabongo mnavyopenda short cut sijui nani kawaroga,kwa taarifa yako mwisho wa dunia haufiki wala nini na cha moto tutazidi kukiona hadi akili zitakapotukaa sawa tukaacha kushabikia upuuzi wa ccm
   
 16. m

  malaka JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mwanaume rijali hakimbiagi tatizo bali hukabiliana nalo. Sasa wewe ukimbia mkeo nae akimbie itakuwaje? Komaaaaa.
   
 17. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,026
  Likes Received: 1,396
  Trophy Points: 280
  Sijakusoma vizuri hapo


  Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
   
 18. N

  Newcastle Senior Member

  #18
  Dec 14, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siku utakapo jinyonga usiandika kwenye jf hatutaki ushahidi
   
 19. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,445
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
 20. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona nasikia mwisho wenyewe ni wiki ijayo tu, kuna thread humu inasema around 21st and 23rd this month!
   
Loading...