Sitta apoteza matumaini ya Urais 2015


C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
Habari za uhakika kutoka kambi ya Samweli Sitta, zinaonyesha kuwa matumaini ya kuwa rais wa Tanzania 2015 yamefifia kabisa kutokana na sababu zifuatazo:

1/Kambi yake kushindwa vibaya sana ndani ya chaguzi za CCM.

2/Kutokuonekana dalili zozote kwa CCM kuwafukuza Mafisadi ndani ya CCM hususani Lowassa, Chenge nk.

3/Kutokupewa nafasi ya kutaka kugombea urais kupitia upinzania hususani CHADEMA kama atataka kuhama CCM.
 
B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 0
Sita ni msaliti mwache atapetape anavuna matunda ya alichokipanda.

Kwa mafisadi patamu anataka na kwa wananchi anapataka lakini pachungu
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,385
Points
1,225
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,385 1,225
Kwani nae huyu babu hajachoka tu bado anautaka mpaka urais? kweli uongozi mtamu bwana asikuambie mtu
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
Kwani nae huyu babu hajachoka tu bado anautaka mpaka urais? kweli uongozi mtamu bwana asikuambie mtu
Mkuu tatizo la Sitta anamwogopa sana Lowassa, hivyo ama zake ama za Lowassa.
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,385
Points
1,225
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,385 1,225
Kwani wewe ni kambi gani ndani ya CCM?
Mimi sijawai kuwa CCM hata kabla ya vyama vingi, labda wewe wa CHADEMA uniambie kama upo kambi ya ZITO ama ya Slaa
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
Mimi sijawai kuwa CCM hata kabla ya vyama vingi, labda wewe wa CHADEMA uniambie kama upo kambi ya ZITO ama ya Slaa
Okay. Nilidhani uko kambi ya Lowassa ili nikuulize swali.
 

Forum statistics

Threads 1,285,257
Members 494,502
Posts 30,855,624
Top