KILIO CHA MIAKA 50 YA UHURU NA BARABARA MKOANI RUKWA CHAELEKEA UKINGONI, LAMI YAENDELEA KUTANDAZWA KWA KASI
Hali ilivyo hivi sasa ya barabara ya Tunduma Sumbawanga. Na ujenzi bado unaendelea...
Tabia ya trafiki,wanaotumia tochi ku record mwendo wa magari,imeendelea kushika kasi,baada ya leo trafic aliyekuwa amejificha chini ya mwembe kuibuka ghafla nakuzua tafrani kwa mabasi ya Ngorika...
THE International Standards Organisation (ISO) has faulted the handling of sub-standard goods in Tanzania and challenged the country to deploy substantial human and financial resources to...
Nguzo hiyo ni ya umeme mkubwa ambao haujapita kupozwa kwenye transformer na iko katikati ya barabara na umeme upo. Kwa bahati mbaya gari ikiigonga itasababisha maafa.
Tanesco mkoa wa kinondoni...
WAziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Mh. BERNARD K. Membe (MB), ameanza kuhujumiwa. Mkakati wa kumuhujumu unasukwa kwa ustadi mkubwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Bw. Assah...
Matokeo ya la7 bado ndo maana wengine wenye mawazo makubwa wanajiona watoto wao watakwenda shule tu bila kujali muda wa kujiandaa au waziri aseme mashine nazo zimegoma. Haya 2liyatarajia ktk...
1. Kwanini unakipenda chama chako cha siasa ulichopo?
2. Unaridhika na maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 51 ya Uhuru? Toa sababu
3. Nini kifanyike ili tusonge mbele kama nchi?
4. Unauonaje...
Pamoja na wenginee kuiita eti ni daladala na kuona haistahili utoke kwenye ndenge upande daladala kuelekea Nyumbani (wale wa DSM), sasa nimeamini FastJet wamezamilia na kama kutakuwa hakuna...
Wadau, naomba msaada namna ya kuigundua simu kama ni Original au ni Fake.
Nasikia kuna namba unaandika katika simu kisha unagundua lakini sijaweza kuelewa hizo namba na jinsi ya kufanya...
Hili ndilo swali kubwa ambalo vijana wengi(LEGENDERIES) ambao ni wanafunzi wahanga wa fracas zilizotokea mwaka jana udom wamekuwa wakiulizana.Nani afuatilie boom na je ana uwezo wa kuonana na huyu...
Jamani mpaka Leo ninamajonzi mno kuhusu huyu dada,kunamtu yoyote anayejua kilichomkuta?Namkumbuka sana she was a nice human being .
May her soul rest in peace.
Ndugu wana jamii kuna gari aina ya Toyota Rav 4 Model ya zamani rangi ya kijani ina zunguka mitaa ya masaki mida ya jioni na kunyakua vitu vya mikononi hasa laptop. Juzi jumatatu rafiki yangu...
THURSDAY, DECEMBER 13, 2012
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Hildebrand Shayo akimkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana nakala za kitabu alichotunga cha mwongozo wa...
Kuna familia ilikuwa na nyumba ya urithi baada ya wazee wao kufariki. Mara wazo likatoka nyumba iuzwe wagawane pesa. Wako karibu ndugu 7 hivi. Mmoja wao akawa anawahisi wasiuzwe bali wairekebishe...
KATIKA UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA MWANANCHI LA DEC 12 ,2012 ..LILIPAMBWA KWA HERUFI KUBWA NA KICHWA CHA HABARIz"MNYIKA AWATAJA MAFISADI WA TANESCO" LAKINI CHA KUSHANGAZA KAMA ILIVYO DESTURI YA...
Nawapongeza sana star tv kwa kuweka wazi kuwa tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru wa TANGANYIKA. TBC wanaendekeza sera za ccm wameandika Uhuru Wa Tanzania bara nchi ambayo haikuwahi kutawaliwa kama...
Hii headline news kwenye gazeti la Jambo Leo kweli inatia aibu. Wahariri kwenye magazeti ya bongo, ambayo hununuliwa kama njugu, siku hizi wamekua 'vilazi' yani watu wa kucopy and paste tu habari...
Imani yangu mu wazima ndugu zangu wana jf.
Poleni na ujenzi wa Taifa japo wengine wapo kwa ajili ya kubomoa.
Lengo la kuleta uzi huu hapa ni kuudhiilisha umma kuwa kumbe hata kabla ya vyama...
Enzi zetu hadithi zilianza hivi, 'Hadithi hadithi, hapo zamani za kale..............'. Enzi hizi hadithi huanza hivi,'Akina baba hoyeeee, akina mama hoyeeee, ndugu wananchi mkinichagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.