Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba kufahamishwa ofisi za FASTJET hapa DSM ziko sehemu gani.
0 Reactions
15 Replies
20K Views
Morning! Rais Kikwete anatarajiwa kuwaapisha maofsa wapya wapatao 192 hapo kesho, TMA, MONDULI. Maofsa hao watapata "commision" yao kesho tarehe 15-12-12, baada ya kufaulu mazoezi ya vitendo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
1) Ni mkurugenzi wa Fedha wa Chuo kikuu cha waislam Morogoro- MIAKA YOTE CHUO HICHO KINAONGOZA KWA HATI SAFI 2) Ni mkurugenzi wa Shule za Darul alqam ambazo kwa sasa zinakuwa kwa kasi ya ajabu...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Tyson forced to deny sex change claims By Eurosport | The Pugilist Mike Tyson has denied reports that he has undergone 16 hour sex change surgery and would now be known as Michelle...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimeangalia taarifa ya habari leo saa mbili ucku. Nimestushwa na kilichotokea. Ni kwamba marehemu alikuwa anatumia kadi ya mtu mwingine ambae ni member wa nhif. Mtumishi wa nhif anaongea tena kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo nimesikia kwamba redio imaan likiwaambia waandishi wa gazeti la Mtanzania kuacha kupotosha kesi ya Ponda mahakamani Wamedai gazeti hilo toleo la leo wamepotosha kwa kiasi kikubwa. TAARIFA YA...
0 Reactions
96 Replies
12K Views
Kuna watu wako tayari kuuwa, kutukana, kukebehi, nk ktk harakati za kulinda dini yao lakini hawako tayari kuilinda dini kwa kuwa mfano wa maadili mema au chemchem na kisima cha amani na hekima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Finance Minister Dr William Mgimwa yesterday said the government will not rush to making decisions on claims that some Tanzanians stashed billions of shillings in offshore accounts, including...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu mi nipo DSM nataka kula nyama ya porini kama ya swala au nyati au mnyama yeyote wa pori anayeliwa na jamii ya Kitanzania. naomba mwenye kujua inapouzwa hapa town anipe msaada. ila nahitaji...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Niko tazara kuna gari karibu 10 za ffu zinaelekea mjini. Mwenye habari kumenuka wapi atuhabarishe jamani. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KITAIFA Na Tausi Ally Posted Alhamisi,Decemba13 2012 saa 22:12 PM KWA UFUPI Baada ya kuambiwa hivyo, Habibu alidai kuwa hakuna hata mmoja anayefamfahamu katika utendaji wa kazi za...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Ndugu zangu mimi n msomi kama nyinyi, kama mnavojua kwa sasa sehemu ya kupata tarifa moto moto ni Jf, ila kwa sasa laptop angu imekua inansumbua ktk kusoma modem hi n kutoka na na ant vruz...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu wa mjini hupenda kusema: "Wizi noma ila unyama balaa" Huu ni zaidi ya unyama, zaidi ya ukatili uliokithiri uliofanywa na wanakijiji wenye mioyo ya jiwe iliyokosa nyama. Tukio hili limetokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wadogowadogo wameandamana kwenda kwenye ofisi za manispaa zilizoko maeneo ya Levolosi wakipinga unyanyasaji unaofanywa na mgambo wa kunyang'anywa vitu vyao na kuvigawana...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Wafanyakazi wa Kampuni ya VSS (kampuni ya ulinzi) inayomilikiwa na wakurugenzi ambao ni watumishi wa serikali wameandamana hadi kwa mkuu wa wilaya Nyamagana kudai malipo yao ya mishahara kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo asubuhi niliwahi kuwasikia maofisa wa TCRA wakikana kuihujumu tv Imaan kwa kukataa kuwapa masafa kama walivyoomba.Wamedai kama wametimiza masharti kwanini hawapeleki malalamiko yao TCRA? MY...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa wana jamvi, Nimesoma hii habari kwenye mwananchi, Kadhi mkuu amkana Ponda - Kitaifa - mwananchi.co.tz na kwa kweli nimejiuliza maswali mengi. Thamani ya ekari nne Chang'ombe na ekari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiyo ni picha ya nyumba ya mama mmoja ambaye ameamua kupamba nyumba yake kwa ajili ya Krismasi. Si kawaida. Chanzo: Internet.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom