Baraza la mawaziri jipya 2015 kutoka chadema

tata mura

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
275
170
Ndugu wanajf. Tuungane kushusha chini Baraza jipya tarajiwa la serikali mpya ya Chadema kama Chama kitabahatika kushinda mwaka 2015.

Naanza kutaja wafuatao kama chaguo langu;

1. Dr. W.Slaa - Rais,
2. Tundu Lissu - Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
3. Zitto Zubery Kabwe - Waziri wa mambo ya Nchi za nje,
4. G. Lema - Waziri wa ulinzi na usalama,
5. Wenje - Waziri wa Utalii,
6. Joseph Mbilinyi - Waziri wa utamaduni na michezo,
7. Halima Mdee - Waziri wa Katiba na sheria &
8. F. Mbowe - Waziri wa Nishati na Madini.

Tusaidiane kukamilisha Baraza letu kwa viongozi waliopo sasa, kwani wanaojiunga na Chama na kuwapa madaraka la kukijua Chama wanakuwa wepesi wa kutusaliti. Kwa sababu hawawezi kuwa na uchungu na mali za umma.

Nawakilisha
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
2,000
Mkuu post kama hizi ndizo zinazowapa vijana wa lumumba kujipatia vipato.

Ngoja waje utaona.
 
Mfuga Mbwa

Member
Dec 1, 2012
18
0
Mungu atatundea tu waTz tuliokuwa wapole na wavumivu kwa kipindi choote cha miaka 50 ya utumwa wa mkoloni mweusi
 
RC.

JF-Expert Member
May 24, 2012
444
0
Ndugu wanajf. Tuungane kushusha chini Baraza jipya tarajiwa la serikali mpya ya Chadema kama Chama kitabahatika kushinda mwaka 2015.

Naanza kutaja wafuatao kama chaguo langu;

1. Dr. W.Slaa - Rais,
2. Tundu Lissu - Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
3. Zitto Zubery Kabwe - Waziri wa mambo ya Nchi za nje,
4. G. Lema - Waziri wa ulinzi na usalama,
5. Wenje - Waziri wa Utalii,
6. Joseph Mbilinyi - Waziri wa utamaduni na michezo,
7. Halima Mdee - Waziri wa Katiba na sheria &
8. F. Mbowe - Waziri wa Nishati na Madini.

Tusaidiane kukamilisha Baraza letu kwa viongozi waliopo sasa, kwani wanaojiunga na Chama na kuwapa madaraka la kukijua Chama wanakuwa wepesi wa kutusaliti. Kwa sababu hawawezi kuwa na uchungu na mali za umma.

*Nawakilisha
Haya yatawezekana kama tutahamasisha vijana kwenda kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura,kisha tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura na kisha tuzilinde kura zetu mpaka kieleweke,tukifanikiwa hili nina imani kuwa baraza hili la mawaziri linaloenda kuundwa hapa litawezekana!!
 
Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,558
1,195
Katiba haitakuwa ya kipuuzi kama ya sasa ya vyeo vya kupeana. Hata CDM ni makini hawahitaji ramli kuhusu Baraza lao la mawaziri.
 
shangwe shangwe

Senior Member
Oct 17, 2012
108
0
Huu si muda wa kubashiri baraza la mawaziri wa chadema bali ni mtda wa kuwafumbua macho wananchi juu ccm kushindwa kusimamia rasilimali za nchi.
 
Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,383
2,000
Baraza la mawaziri litakaloundwa mwaka 2015 sio la kuteuliwa kama hv sasa kwani katiba mpya itakuwa imeorodhesha namna ya kupatikana mawaziri.
 
KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
1,225
Ndugu wanajf. Tuungane kushusha chini Baraza jipya tarajiwa la serikali mpya ya Chadema kama Chama kitabahatika kushinda mwaka 2015.

Naanza kutaja wafuatao kama chaguo langu;

1. Dr. W.Slaa - Rais,
2. Tundu Lissu - Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
3. Zitto Zubery Kabwe - Waziri wa mambo ya Nchi za nje,
4. G. Lema - Waziri wa ulinzi na usalama,
5. Wenje - Waziri wa Utalii,
6. Joseph Mbilinyi - Waziri wa utamaduni na michezo,
7. Halima Mdee - Waziri wa Katiba na sheria &
8. F. Mbowe - Waziri wa Nishati na Madini.

Tusaidiane kukamilisha Baraza letu kwa viongozi waliopo sasa, kwani wanaojiunga na Chama na kuwapa madaraka la kukijua Chama wanakuwa wepesi wa kutusaliti. Kwa sababu hawawezi kuwa na uchungu na mali za umma.

Nawakilisha

Baadae xana.
 
Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
225
Hahahaha nimecheka sana wajameni coz vimbwanga vya jf huyu jamaa kwanini ameamua kuchagua vituko subili na mimi nitoe serikali yangu.....
Raisi:Zitto kabwela
makamo:Hamadi rashidi
waziri mkuu:January Makamba
Mwanasheri mkuui:Tundu lissu haoo ndio nawaona serikali ya mwaka elfu mbili na kumi na tano
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom