Askari kulipua siri ya uchaguzi Zbar
na Mwandishi Wetu, Zanzibar
SAKATA la kukwama mafao ya askari wastaafu wa vikozi vya SMZ, limechukua sura mpya, baada ya baadhi yao kutishia kufichua...
Zimekatwa sana issue za UDSM na Mzumbe hapa lakini naona tumekasahau haka ka institute kalikopo mtaa wa Shaaban Robert. Nimeskia mengi sana kuhusu hiki chuo yakiwemo ya walimu kufanya biashara ya...
Na Frederick Katulanda,Mwanza
SIKU moja baada ya kubainika mfungwa aliyehukumiwa kutumikia kifungo jela miaka mitano kuwa nje, jeshi la polisi limeeleza kuwa limemtia mbaroni kijana huyo na...
KWA WASIOJUA KIINGEREZA tafadhali ombeni mtu awatafsirie. Lugha ya 'If' and 'if' ni lugha ya kubahatisha, ni lugha tegemezi na sio lugha inayotoa uono wa mbali na mwelekeo wa nchi ya...
Minister, MPs differ on prison conditions
2008-09-22 10:36:12
By Angel Navuri
The government has said it has no information that violations of human rights are rampant in the country`s...
Ikulu ya Chamwino kuhamishwa
Martha Mtangoo, Dodoma
IKULU ndogo ya Chamwino mkoani hapa pamoja na Ofisi ya Rais, vinatarajiwa kuhamishwa kutokana na eneo lililojengwa Ikulu hiyo...
Date::9/22/2008
Bomoa bomoa ya kikatili Magomeni
Na Salim Said
Mwananchi
FAMILIA sita zimekosa sehemu ya kuishi baada ya watu wanaodai kununua nyumba ya urithi ya watoto zaidi ya 10 wa...
I am extremely sorry that attachments for the thread 'Weather manipulation' could not be managed.Any inconveniences caused are highly regretted.For your own reading however, please go to...
Have you ever thought even remotely, that the weather can be manipulated.If you have never imagined that electromagnetic waves can be used to bring havoc in terms of hurricanes etc. to the...
ROW ERUPTS AFTER CONTROVERSIAL BUSINESSMAN IS TOUTED AS ONE OF NATION'S LEADING ROLE MODELS
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
A ROW has exploded over the decision of organizers of an...
Mambo ya kujadili haya hapa! Kujadili watu imetosha sasa tujadili hoja!
Na Boniface Meena, Bagamoyo:
SERIKALI imeanza mchakato wa kuunda tume mpya ya mipango ili kiwe chombo kikuu cha...
VILIO na majonzi vimetawala leo asubuhi eneo la Kurasini baada ya tingatinga kutinga na kuanza kubomoa nyumba huku baadhi ya nyumba zikiwa na mali ndani ambapo vibaka wakivamia grosari na kunywa...
Mods,
Tangu kama sikosei Alhamisi nimekuwa siwezi kuingia JF kwa kutumia Laptop na Desktop yangu. Sijui tatizo liko wapi. Leo hii nimejaribu computer ya Mywife Wangu naona inaingia bila tatizo...
Kwa kweli sasa Siasa zinapamba moto... Wakati 2010 haiko mbali, wana itikadi wadai- Wanawake, Vijana na Wazazi wa CCM ni Wachafu mno...:eek:
Wanalumbana kusivyo.
Hivyo, marufuku kumchafua...
Huraa,BoT,mmeonyesha njia.Nitakalo kusema hata hivyo ni kwamba, tatizo hili haliko BoT tu,limezagaa nchi nzima.Na ni kubwa kiasi cha kutisha.Sasa serikali kwa makusudi kubisa itoe vihiyo wote...
Rais Kikwete alipo kuwa ziarani kule Tabora, alitoa Sh.5,000,000 kwa msichana maskini, ambaye si katai, kweli alihitaji msaada kufuatana na hali yake ilivyo.Ni sicho elewa mimi, ni kwa nini kwa...
Katika siku hizi za karibuni kabisa kumekuwa na sakata la maziwa kutoka China.Sijashanga sana, kwa vile Wachina ni jamii ya watu ambao kwao si ajabu kukuuzia karatasi huku wakisema ni noti.Ndio...
Kuna mwanachama mmoja wa jamii forum yuko muhimbili amelazwa kwa jina ni athumani hamisi , nashangaa kwanini hatumpi pole tunajifanya hatujui kinachoendelea au kwasababu yeye ndio aliyehusika...
na Ramadhani Siwayombe, Arusha
JESHI la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi, Rafael Lesika (35), baada ya kukojoa katika kituo cha kuuzia...
Rufaa vigogo wa EPA BoT katika hatua za mwISHO
USIKILIZAJI rufaa za maafisa wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambao walipinga adhabu za kuhusishwa kwa tuhuma za ufisadi katika Akaunti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.