Siwezi ingia jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siwezi ingia jf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sikonge, Sep 22, 2008.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mods,
  Tangu kama sikosei Alhamisi nimekuwa siwezi kuingia JF kwa kutumia Laptop na Desktop yangu. Sijui tatizo liko wapi. Leo hii nimejaribu computer ya Mywife Wangu naona inaingia bila tatizo na ndiyo nimeweza kuandika huu ujumbe. Nashindwa kujua tatizo liko kwangu au kwenu. Nilifikiri labda JF ina matatizo au nimepata RED CARD. Sasa ni IP zangu zimepata hiyo Kadi nyekundu? Kwa kosa lipi? Au nimekoroga madudu? Wakali wa IT na Mods nisaidieni. Samahani kama ujumbe nimeuleta mahali si pake na Mod, waweza uhamishia sehemu unapotakiwa kuwa.
   
Loading...