Usinichafue Mie-Mchafu Wewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usinichafue Mie-Mchafu Wewe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sura-ya-Kwanza, Sep 21, 2008.

 1. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2008
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli sasa Siasa zinapamba moto... Wakati 2010 haiko mbali, wana itikadi wadai- Wanawake, Vijana na Wazazi wa CCM ni Wachafu mno...:eek:

  Wanalumbana kusivyo.

  Hivyo, marufuku kumchafua Kijana, Mwanamke au Mzazi wa mwana CCM!

  Kwa habari Zaidi Bofya hapa...

  Nafikiri Siasa itakuwa haina moto kama sitaweza kuwachafua wenzangu--Hautakuwa mchezo mzuri kuwa sopu sopu saa zote.

  Au vipi Wasafi Wenzangu?
   
Loading...