Huwa nangalia movies za wenzetu wa nigeria,ghana..n.k huwa wanajua kuact hadi unafikia mda mwingine unaanza kutokwa machozi jinsi wanavyocheza kwa ufasaha na kuvuaa nafasi halisi ya mtu...
Wana JF,
Niko ndani ya Jiji la Arusha ila makubwa nimeyakuta hapa
Jamani wandugu, kilichotekea huku Matongee Club Arusha Jana Usiku ni aibu tuuuupu kweli kwani Jana Fally Ipupa alipaswa...
here's my top ten..
1. kool and the gang
2. blackstreet
3. jodeci
4. the temptations
5. the jackson 5
6. the isley brothers
7. earth wind and fire
8. the ojay'
9. boys to men
10. new edition
and...
Kwa wale mliofuatilia 'The Voice' season 1, mtamkumbuka binti huyu, very innocent and shyly face, alikuwa mentored na Blake Shelton, mzee wa 'you will be my Louisiana, I will be your...
Ndugu zangu,
Usiku huu nime-google jina langu ndipo nimekutana na habari hii; ' Maggid Mjengwa ana virus?
Nimejadiliwa katika angle hiyo kwa kile kilichodaiwa na mwanzisha mada kuwa...
Akitumbuiza mjini Iringa ukumbi wa Highland
Hapa akiwa amekosa raha kabisa baada ya wahuni wa Iringa kumuibia viatu na kumwachia sox.
Hivi viatu alivyo azimwa kwa muda ajisitiri.
Muimba...
Wakuu mnaukumbuka wimbo huu?
Hakika uwa ni wimbo wa faraja sana hususani kwa hili dimbwi la umaskini uliokithiri wa taifa na watu wetu!!
Bobby McFerrin - Don't Worry Be Happy - YouTube
Furahia.
Sasa tunasikia tena akina sele, necha, feruz, na wenzao wote ambao walikua wanabaniwa
Clouds are doing this expecting kukomesha vinega, unfortunately, wanatekeleza ilani ya vinega
SAFI SANA...
Jamani ndugu zangu tunaopatikana pande za Arusha twende kwenye mazishi ya marehemu mr.Ebo.Tulimpenda ila MUNGU ALIMPENDA ZAIDI JINA LA MUNGU LITUKUZWE.
"Kwetu Pazuri Nimeshapakumbuka".
Ile kwaya ya Ambassador of Christ kutoka Rwanda Itakuwepo pale Diamond Jubillee Jumapili 04/12/2011 wakizundua Album yao mpya waliyoiandaa baada ya kupata ajali...
She's Too Good For Everyone Lyrics
Oh here she comes, it's "miss too good for everyone", Hot since the seventh grade, mean as a snake in a knot
Not just some pretty girl, she's "muy en...
Wadau, hivyi katika tasinia ya habari Tanzania kuna mtangazaji anaelipwa mil 5 za Tanzania au zaidi? Lakini kwa Kenya na Uganda mambo ni kama hivyi;
Allan Kasuijja is the highest paid radio...
Hili goma lilikuwa ni kali lilipendwa sana kanda ya ziwa na kwingineko nilisikia kuna tajili mmoja wa Kenya aliwatafuta waimbaji wote waliopo hai na kuimba nyimbo zote upya na kuziweka on video...
l
http://youtu.be/4gTAAduiW3Y
Kwa mlio mbali na nyumbani, haijalishi upo Dar na kwenu Kigoma, upo Lindi na kwenu Mwanza au upo Norway na kwenu ni Congo.This one is for you. Enjoy.
T
Wadau na wapenzi wa muziki wa hip-hop tujadili track kali ambazo zinasumbua masikio yetu kupitia redio zetu na macho yetu kupitia Tv zetu:
Mimi napenda hizi zifuatazo:
1.''how to love''- Lil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.