ITV na tamthilia mpya ya Kikorea

ITV na tamthilia mpya ya Kikorea

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Mambo vp member wote wa jf,
kama kawaida kwa sisi wengne wapenzi wa tamthilia za kikorea,itv naona hapa leo wameanza tamthilia mpya,ingawa sijajua jina lake,mwenye kuijua zaidi au mwenye link ya tamthilia hiyo tunaomba tu share wote hapa.
 
Jamani msaada.
 
Wengine madishi yetu itv haionekani...
 
ya ITV mpya inaitwa 'THE GREAT KING' wanazo onyesha capital, ITV walishakwisha onyesha zote.
 
  • [h=1]Title: Queen Seon Duk (Korean Drama)[/h]
  • Also Known As: 선덕여왕 / Queen Seon Duk
  • Genre: Historical, Period Drama
  • Broadcast Date: May, 2009
  • Total Episodes: 50
  • Casts: Ko Hyun Jung, Lee Yo Won, Myung Se Bin, Nam Ji-Jyeon, Seo Young-Hee, Yoo Seung Ho
  • English Subs: Yes
  • Ost: N/A
  • Synopsis/Summary/Review: King Jinpyeong did not have any sons to name as a successor to his throne. Thus he named his eldest daughter, Princess Duk Man, to be his successor. The drama will be about the life of Princess Duk Man who was later known as Queen Seon Duk, the first Queen of Silla.
 
Wengine madishi yetu itv haionekani...
Mimi sielewi hawa ITV na STAR TV pamoja na channel ten, ITV ikishika wiki Star Tv haishiki mwezi, Star TV ikishika mwezi basi ITV haionekani nusu mwezi hali kadhalika na chanel 10, channeli teni sikuweza hata kuimalizia ile tamthiliia ya daniela. halafu kuanzia tarehe 12 Jan, 2012 zirudi zote zinashika bila chenga ingawa Star Tv ikifika usiku inakata. sasa sijui zitadumu kwa muda gani kabla hazijapotea tena. Maana ni zigzag.
 
Halafu kuna ile ya DouDou ya TBC1 nayo ni nzuri huwa inanifurahisha sana.
 
Nimejaribu ku-download Torrentz lakini nimeshindwa naona inanipeleka kwenye kujisajili ambazo inabidi ulipie.
 
  • Title: Queen Seon Duk (Korean Drama)
  • Also Known As: 선덕여왕 / Queen Seon Duk
  • Genre: Historical, Period Drama
  • Broadcast Date: May, 2009
  • Total Episodes: 50
  • Casts: Ko Hyun Jung, Lee Yo Won, Myung Se Bin, Nam Ji-Jyeon, Seo Young-Hee, Yoo Seung Ho
  • English Subs: Yes
  • Ost: N/A
  • Synopsis/Summary/Review: King Jinpyeong did not have any sons to name as a successor to his throne. Thus he named his eldest daughter, Princess Duk Man, to be his successor. The drama will be about the life of Princess Duk Man who was later known as Queen Seon Duk, the first Queen of Silla.

Queen Seon Duk - Episode 1 - Watch Full Episodes Free on DramaFever
 
Hata mie kingamuzi hakionyeshi ITV.Lakn nimeona nyingine mpya CAPITAL inaitwa The Land Of Wind.
land of wind ya kitambo sana, ishaonyeshwa ITV..tafuta KING GWANGGAETO THE GREAT, kali sana, unaweza watch online au download kabissaaa..
 
Back
Top Bottom