Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

http://youtu.be/gvJd5BV1upo R.P.I Whitney Houston!.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Julieth Kulangwa Fredy Mariki a.k.a Mkoloni ambaye ni swahiba na msaidizi wa mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu amesema vita ya kuwashughulikia virusi wa muziki wa Bongo Fleva...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamii, naitaji kupata contact za shilole, mwenye number yake ntashukuru ak ni PM, au kama anafahamu username anayotumia facebook, Asante
0 Reactions
6 Replies
10K Views
jaman ambaye anajua site ya nyimbo za kibongo nafuta sana
0 Reactions
25 Replies
2K Views
AMATAKA NA MPUNDA......KITOKO MAKASI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fid Q kiboko, check anavosema Et " KAMA WEUPE UNGEKUWA NI DILI BASI UBUYU USINGELI PAKWA RANGI" mnauchukuliaje usemi huu wadau:A S embarassed:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali tuliyonayo,lile kundi la muziki wa kizazi kipya lililotamba na nyimbo kama 'Tanga Kunani','Wauguzi','Wasafiri','Trafiki','Umeme na Maji' na nyinginezo la Wagosi wa Kaya linahitajika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau heri ya mwaka mpya! Tafadhali, mwenye kukumbuka/kujua jina la rekodi hii aliyoimba Banza akiwa na TOT naomba anisaidie. Rekodi ni ile isemayo: Majungu si mtaji.......Majungu si...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Nimeiangalia hii tamthilia kwenye Dstv Africa Magic Swahili. Imenifurahisha sana haswa majamaa mawili Petro na Magugu. Hii tamthilia ambayo ni ya kiingereza inachezwa nchi gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pata nyimbo mpya za Diamond na wengine kibao at www.bongomp3.xtgem.com
0 Reactions
0 Replies
41K Views
Now you can get new bongo flava , did you know facts and much more visit now www.bongomp3.xtgem.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Visit the link below to download. Featuring Kingston 13 Riddim,Turnpike Riddim,Real Reggae Riddim,Think Twice Riddim,Pursue Riddim,Kush Morning Riddim and many more. HighGrade Sounds...
1 Reactions
0 Replies
951 Views
Angalia CNN, Sky News, BBC live coverage ya mazishi ya Whitney Houston from Newark
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Click the link below: HighGrade Sounds.
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Kuna nyimbo mpya ya msanii Dully Sykes, Inahamasisha vijana kukaba na kuiba. Sasa sijui hapa jukumu ni COSOTA au CHAMUDATA lakini ilitakiwa kabla vitu hivi havijaruhusiwa kusikilizwa na kutazamwa...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji...
0 Reactions
73 Replies
17K Views
Joseph Kusaga ndio mwanzilishi na kinara wa kampuni ya Clouds FM, kama anavyoelezwa kwenye clip hiyo. Ruge Mutahaba ni General Manager, obviously ni bosi mwandamizi wa Clouds, lakini mwisho wa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Vodacom imemaliza muda wake sasa ni Reds Miss Tanzania... Msimu wa madada unawadia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It is live on channel o DSTV right now...........................
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nawaonea huruma sana hawa waandaaji wa Kilimusic Awards. Nawaonea huruma kwa kuwa ni wazi wanaishi ulimwengu mwingine. Music industry ya nchi hii imetawaliwa na utapeli rushwa na umafia kiasi cha...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Back
Top Bottom