Harry Potter aja na movie mpya iitwayo the woman in black | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harry Potter aja na movie mpya iitwayo the woman in black

Discussion in 'Entertainment' started by Michael Amon, Mar 5, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Je umeshawahi kukumbana na vimbwanga vya kishirikina? Kama hujawahi basi nakushauri ufuatilie movie hii iliyosheheni vimbwanga vya kila aina vya ushirikina iliyoigizwa na msanii maarufu wa kugiza movie za kutisha hapa duniani ambaye anajulikana kama Harry Potter (Daniel Radcliffe) na kudirektiwa na James Watkins. Hadithi ya filamu hii iliyoandikwa na Susan Hill na Jane Goldman Inamulezea kijana mmoja mwanasheria ambaye alisafiri kwenda katika kijiji fulani ili kufanya uchunguzi wa wa kisasi cha jinamizi mwanamke ambaye anatishia jamii. Ili kupata picha halisi ya movie hii tafadhali angalia trailer yake ifuatayo:-

  Onyo: Usiangalie movie hii peke yako hasa nyakati za usiku kwani unaweza ukajikuta unashindwa kulala.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...