Kwa Wale Wapenzi Wa Movies: Ghost Rider 2 Spirit Of Vengeance Has Been Released | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wale Wapenzi Wa Movies: Ghost Rider 2 Spirit Of Vengeance Has Been Released

Discussion in 'Entertainment' started by Michael Amon, Mar 2, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Baada ya msanii maarufu wa filamu duniani Nicolas Cage kutoa movie ya Ghost Rider One miaka kadhaa iliyopita sasa amerudi tena na muendelezo wa filamu ya Ghost Rider ambapo ametoa filamu ya pili ya Ghost Rider ambayo inaitwa Ghost Rider: Spirit Of Vengeance. Filamu hii amabyo imeandikwa na Scott M. Gimple pamoja na Seth Hoffman na kudairektiwa na Mark Neveldine na Brian Taylor imezinduliwa rasmi mnamo tarehe 17th February. 2012. Wahusika wakuu (starring/stars) katika filamu hiyo ni Nicolas Cage, Ciaran Hinds na Idris Elba.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kwa wale ambao wataihitaji movie hii wani PM
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Pia nadhani movie hii ni movie ya action ambayo imefanya vizuri mwanzoni mwa mwaka huu
   
Loading...