Quality movies download tricks | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Quality movies download tricks

Discussion in 'Entertainment' started by Troo, Mar 8, 2012.

 1. Troo

  Troo Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Kwa wale wapenzi wa Moviez za nje wanaopenda KuDOWNLOAD kupitia TORRENT SITE Mbalimbali. Vifuatavyo ni vipufupisho vya majina yanayoandikwa mwisho ya majina ya movies kuonyesha ubora wa picha&sauti za movies hizo (CAM, R5,TS, DVDscr, DVDrip,LINE, Xvid e.t.c).
  Mfano.

  [h=1]1-Immortals.2011.R5.XviD-ViSiON[/h][h=1]2-Mission Impossible 4 Ghost Protocol 2011 CAM READNFO XviD-BiDA[/h][h=1]3-Johnny English Reborn (2011) DVDRip XviD-MAXSPEED[/h][h=1]Sasa hapa kikubwa ni kujua kwamba CAM ni kifupicho kinacho maanisha hiyo movies mtu aliichukua kupitia Camera akiwa ukumbi wa cinema kwa hiyo lazima itakuwa na poor quality hasa audio unaweza sikia hata background noise!.[/h][h=1]R5- inamaanisha DVD Region 5 huu ni mfumo ambao hutolewa kutumia telecine machine kutoka ktk chanzo cha analogy cha movie hiyo na huwa zinatolewa kabla ya movie kumalizika kutolewa ktk mfumo wa digital wana fanya hivi kupambana na Movies piracy. R5 huwa zinakuwa chafu zaidi ya CAM.[/h][h=1]LINE- hii humanisha aliyeUPLOAD hyo movie alitumia CAM lakini aliunganisha waya ktk ukumbi wa cinema ili apate audio ya movie tu! Na siyo background noise.[/h][h=1]TS=CAM- lakini TS(telysync) hutumia LINE kwa ajili ya kuchukulia sauti kutoka ktk chanzo cha nje tofauti na ukumbi wa cinema.[/h][h=1]SCR(screener)- hizi ni VHF tape za utangulizi hupelekwa ktk maduka kwa ajili ya promo ila ktk movie screen huwa ni 4.3 na inakuwa na utepe wa copyrighty msg inayotokea kila mara au mara chache.[/h][h=1]DVDscr hii humaanisha hiyo movie wameiRIP yaani wameifyonza kutoka ktk VHF tape na DVDrip sasa hii wanakuwa wameiRIP kutoka ktk DVD rasmi ya mwisho kutolewa.[/h][h=1]Xvid na DviX hizi sasa movie zake wanakuwa wameziENCOD ni kama wameziConvert ktk mfumo wa AviÂ…Xvid na DviX ni mfumo wa codec ambao hata ripper humuwezesha kuRIP kwa uraisi hizo movie anazo taka kuUPLOAD[/h][h=1]Kwa hiyo Screener ndio wanaongoza kutoa movie safi zenye high quality kupita CAM,TS na R5.[/h][h=1]Hakikisha Movie unayoDOWNLOAD mwisho in neno DVDrip au DVDscr ikimaliziwa na neno Xvid au ina neno moja tu Xvid. Kwahyo ktk hzo movie tatu hapo juu John English(2011) ya Mr Been ndio ina picha Safi na sauti nzuri tu!.[/h][h=1]N.B kwa wale wapenzi wa SPARTACUS season 2 episode 6 imetoka ijumaa iliyopita tusubirie makubwa kutoka kwa GANNICUS ktk episode 7 ijumaa ya wiki hii.[/h][h=1]Thanx.[/h]
   
Loading...