Kilimusic Awards Joke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimusic Awards Joke

Discussion in 'Entertainment' started by ngalikikinakiki, Feb 13, 2012.

 1. ngalikikinakiki

  ngalikikinakiki Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nawaonea huruma sana hawa waandaaji wa Kilimusic Awards. Nawaonea huruma kwa kuwa ni wazi wanaishi ulimwengu mwingine. Music industry ya nchi hii imetawaliwa na utapeli rushwa na umafia kiasi cha kwamba hatimae muziki unakuja sikika kwa watu si kwa kuwa ndio the best uliorekodiwa bali kwa kuwa ndio uliokuwa mikononi mwa wanaoweza kuutoa hewani. Hivyo basi nyimbo nyingi zilizotolewa kwa ajili ya nominations ni takataka tupu kimuziki japo zinafurahisha kama unajua kiswahili.... kuna muziki gani katika Hakunaga? na ukweli katika asilimia kubwa ya bongoflava, ukimwondoa muimbaji muziki hauna kitu, na waimbaji wengine si wazuri ila pengine maneno yao ndo yanafurahisha, sas nyimbo za hivi ni vichekesho katika soko la muziki la dunia. Na kwa kuwa watayarishaji wameng'ang'ania kutokutumia wataalamu wa muziki na kuona ma radio DJs (aka mameneja wa wasanii) kuwa ndio wataalamu lazima wakubali lawama zitakazo waandama. Na natabiri kifo cha KILIMUSIC AWARDS RASMI
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Etii wanampa Mpoki tuzo!!!!!!!.Masusu.
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  sina hamu nao. walimnyima tuzo mjomba mjomba wakampa mpoki.
   
 4. 1

  19don JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  walimpa tuzo 5 sijui 20% wakamsahau mtayarishaji wake man walter
   
 5. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tehe tehe cough cough!!!!!,pumba kweli hizo tuzo
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ngoja tuone mwaka huu itakuwaje..
   
 7. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mwaka huu watampa joti.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  kwani mnataka watu waimbe nini? wizi wa kura? mtu unaimba kitu chochote baab
   
 9. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hakunga pini msifanye mchezo au mnataka nyimbo iitwe umangimeza,ujima na ubepari tanganyika?
   
 10. serio

  serio JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,929
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  diamond atakula awards kumi aiseeee.... kila sector wamemweka..
   
Loading...