Msaada kwa anayefahamu nyimbo za county,,,,,,

ngarambe

Senior Member
Apr 15, 2012
100
14
Napenda sana aina hiyo ya nyimbo....naomba kutajiwa nyimbo na waimbaji wa nyimbo hizo
 
Kuna moja anaitwa Brad Paisley, mgoogle ana nyimbo bomba!

Yupo cow boy mmoja anaitwa Dom Williams, bila kumsahau mwana mama Doly Patron.
Mkongwe Kenny Rogers naona kesha tajwa hapo juu.(rekebisha title iwe "country")
 
nawewe rekebisha. Ni Don Williams (sio Dom) na Dolly Parton (sio Patron)
 
Yupo cow boy mmoja anaitwa Dom Williams, bila kumsahau mwana mama Doly Patron.
Mkongwe Kenny Rogers naona kesha tajwa hapo juu.(rekebisha title iwe "country")

Watajwa hapo juu ni wanamuziki wazuri wa "old school country" nadhani muziki wao tumeuzoea sana japokuwa wanatoa nyimbo mpya ni vizuri pia kugundua nyimbo mpya na wanamuziki wapya ili kupata ladha tamu ya muziki huu.
Country haiishii kwa Kenny Rogers na Dolly Parton tu...
 
Asanteni sana,,,,huyo don william nilikuwa namsikia sana kipindi cha redio one jumapili ila cku hizi hakipo, na nilikua nimemsaha ..... Much thanks kwa wote wakuu....respect
 
George Strait.....umemsikia huyu......?
kuna Linda Ronstadt.....Sketer Davis......
tafuta hao.......
 
Watajwa hapo juu ni wanamuziki wazuri wa "old school country" nadhani muziki wao tumeuzoea sana japokuwa wanatoa nyimbo mpya ni vizuri pia kugundua nyimbo mpya na wanamuziki wapya ili kupata ladha tamu ya muziki huu.
Country haiishii kwa Kenny Rogers na Dolly Parton tu...

Wapo wengi mkuu i guess hata Paris Hilton ana nyimbo hizo.
Kama nimekosea jina nisamehe bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom