Kwa wale waliokuwa wanafuatilia bongo flave enzi inaanza kushika hatamu basi watakuwa wanamkumbuku huyu mwana dafada Pauline Zongo the first lady from upanga east cost.
Kwa muda sasa alikuwa hasikiki toka alipojiunga na band ya TOT
Lakini cha ajabu leo nipo kwenye harusi ya jamaa yangu hapa Qualty center namuona anatumbuiza live na band yake............CLASSIC
Nimepata wasaa wa kuteta naye anasema hivi sasa anaangalia zaidi maisha kwani kutumbuiza kwenye sherehe inamlipa zaidi kwa umri wake kuliko kukomaa na matamasha