Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Naitafsiri Big Brother Africa kama hadithi ya Mungu wa uongo anayewatumikisha Watumwa wake.... Je mdau, Nini tafsiri yako ya BBA..?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Great thinker,naomba kwa ambaye ameona movie nzuri ya series anitajie ili niitafute inikeep busy,nimeangalia,legend of the seeker,merlin,robin hood,24,lost ,spartacus,prison breaker,vampire...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
...kwa mjumbe ambae anajua namba za Muyenjwa Gamba anaeandaa kipindi cha Hizi Nazo kwa hisani yake anipatie. Alternatively, kwa mjumbe anaemfahamu kaka Zomboko amuulizie ili nipate hiyo contact...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waswahili wanasema kuwa ngooma ikivuma sana hupasuka. Mashindano ya Bss japo yapo kitambo sasa yameonekana hayana tija kwa upande wa washiriki ila ni mtaji kwa waandaaji. Nasema hivi kutokana na...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Jamani ITV huyo Zomboko ni muongo sana. Karibu kila kitu anachoongea kwenye hiki kipindi hawavumi lakini wamo anaongea uwongo mtupu. Wimbo Jamaica Farewell ni Tradional song ya Jamaica na Harry...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Bill Clinton sure looks happy standing between porn stars America's former commander-in-chief, Bill Clinton, is smiling ear-to-ear in this picture that porn star Brooklyn Lee tweeted showing...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LUKE WA LIBERIA NA JESSICA WA NAMIBIA WAMEFANYANA!! Kwa wale wanaofuatialia reality show ya Big Brother ambayo kwa mwaka huu imepewa kilemba cha kuitwa Star game wanafahamu kwamba jana...
1 Reactions
54 Replies
15K Views
Wadau kwa muda sasa kumekuwa kunaendeshwa kampeni kali ya kusaka michango kwaajili ya kukusanya fedha za kugharamikia matibabu nchini India ya Msanii wa filamu nchi SAJUKI ambaye kiukweli anaumwa...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
12:24 PM ET Usher tears up in court over custody battle Usher's battle for visitation rights with his two sons has struck a nerve.Click here: Usher tears up in court over custody battle &#8211...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Why do so many people connect with Marley? The answer is fairly simple: Marley was an everyman, a gentle soul and a revolutionary. Many have identified with his humble upbringing in the tiny...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Imeshakuwa kawaida, kama kawaida yetu watz, Saiv ukisikiliza redio, ukisoma magazeti na karibia media zote zinapokuwa zina ripoti mambo ya burudani na hasa muziki, utasikia neno muziki wa "bongo...
2 Reactions
13 Replies
7K Views
Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale tcc chang'ombe.wana tatizo gani au ni kwa sababu marehemu haKuwa msanii mwenzao?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wadau wa movies, naombeni mwenye kujua namna nitapata collections za movies zinazotoka china, kama vile za Alibaba nk. anijulishe manake nataka kama peaces elfu moja kwa ajili ya kuanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa mdau yeyote aliyekuwa na access ya kufuatilia hii game naomba anijuze ni nani kawa evicted from the house today wakuu ....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
US singer Donna Summer, famous for disco classics including I Feel Love and Love To Love You Baby, has died at the age of 63. Summer was one of disco's biggest stars and also had a huge influence...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari , Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa ni ya miziki ya kiafrica mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK ambayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Im velee sole and im vere glady
0 Reactions
1 Replies
3K Views
http://youtu.be/C2q2bis6eLE Habari za hivi karibuni zinasema kuwa mwanamuziki maarufu wa nyimbo za disco, Donna Summers amefariki dunia kwa ugonjwa wa cancer. Kwa wale tuliokuwa tunakwenda disco...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom